Kishindo cha Kinana chazaa neema Hydom!

Kishindo cha Kinana chazaa neema Hydom!

ACHEBE

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Posts
348
Reaction score
76
Ikiwa ni siku tatu tu toka Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na msafara wake wapite kukagua hospitali ya rufaa ya Hydom serikali imeamua kuajiri watumishi 94 waliokuwa wanafanya kazi hospitalini hapo bila ajira ya serikali. Watumishi hao waligikisha kilio chao kwa Katibu Mkuu Kinana wakati wa ziara yake hospitalini hapo.

Aidha ruzuku ya serikali kwa hospital hiyo imepanda kutoka 200mill mpaka 316 mill, ikiwa ni mwitikio wa serikali kwa kilio cha hospitali hiyo kwa Kinana alipotembelea hospital hiyo.

Mytake
Waliokuwa wana dai ziara za kinana hazina tija kanyweni uji sasa mlale! Na huo ni mfano tu!
 
Kadanganye wanawake wenzake kule. Kinana ni nani serikalini hadi atoe ajira kwa niaba ya wizara ya afya na kutoa ruzuku hospitali ya Hydom? Kakojoe ulale!
 
Mi nataka kujua hiyi hydom huwa iko wapi? Naiskiaga tuu,,ni jina la sehemu hapa tz au?
 
Yani juzi tu, then mambo yote hayo yametekelezwa? Sasa tumejua ziara za Kinana ni maigizo ya Serikali na chama tawala ili kujijengea imani kwa wananchi. Inatumia udhaifu uliokuwepo kujifanya imerekebishwa na ziara za kichama za mh. Kinana.
 
Hahahahahaahahaha muhahahahahaha CCM ni shida kwa kweli yan mpk Kinana apite ndo mjali wananchi toka aanze hizo ziara zake ameshapita maeneo mangapi kunufaisha? Kweli jembe mana kazi yake kuweka mashimo tu
 
Ikiwa ni siku tatu tu toka Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na msafara wake wapite kukagua hospitali ya rufaa ya Hydom serikali imeamua kuajiri watumishi 94 waliokuwa wanafanya kazi hospitalini hapo bila ajira ya serikali. Watumishi hao waligikisha kilio chao kwa Katibu Mkuu Kinana wakati wa ziara yake hospitalini hapo.

Aidha ruzuku ya serikali kwa hospital hiyo imepanda kutoka 200mill mpaka 316 mill, ikiwa ni mwitikio wa serikali kwa kilio cha hospitali hiyo kwa Kinana alipotembelea hospital hiyo.

Mytake
Waliokuwa wana dai ziara za kinana hazina tija kanyweni uji sasa mlale! Na huo ni mfano tu!
Siasa za majitaka!
 
Kadanganye wanawake wenzake kule. Kinana ni nani serikalini hadi atoe ajira kwa niaba ya wizara ya afya na kutoa ruzuku hospitali ya Hydom? Kakojoe ulale!

Umemnanga huyo kisawasa. Serves him right.
 
Yani juzi tu, then mambo yote hayo yametekelezwa? Sasa tumejua ziara za Kinana ni maigizo ya Serikali na chama tawala ili kujijengea imani kwa wananchi. Inatumia udhaifu uliokuwepo kujifanya imerekebishwa na ziara za kichama za mh. Kinana.

hii iningia akilini, wajinga ndio waliwao
 
Tunataka uongozi wa namna hii ambao unaweza kutenda dhidi ya wananchi heko kwako kinana tupo nawe kwenye mapambano haya ya kuwatumikia watanzania.
 
Huyu msomali kinana ameiba sana leo anajifanya mtu wa huruma yeye ni sehemu ya matatizo ya nchii alikuwa ndani ya system muda mrefu
 
Ikiwa ni siku tatu tu toka Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na msafara wake wapite kukagua hospitali ya rufaa ya Hydom serikali imeamua kuajiri watumishi 94 waliokuwa wanafanya kazi hospitalini hapo bila ajira ya serikali. Watumishi hao waligikisha kilio chao kwa Katibu Mkuu Kinana wakati wa ziara yake hospitalini hapo.

Aidha ruzuku ya serikali kwa hospital hiyo imepanda kutoka 200mill mpaka 316 mill, ikiwa ni mwitikio wa serikali kwa kilio cha hospitali hiyo kwa Kinana alipotembelea hospital hiyo.

Mytake
Waliokuwa wana dai ziara za kinana hazina tija kanyweni uji sasa mlale! Na huo ni mfano tu!

Nahitaji majibu ya haya maswali yangu kwanza halafu ndio niunge mkono hoja yako hau niipinge.
1. Kinana alifanya lini Ziara katika eneo hilo?
2. Hao watumishi waliajiriwa na Serikali na kupelekwa hapo Hydom au waliajiriwa na Hospitali hiyo?
3. Hiyo Hospitali ina watumishi wangapi? na je kwa nini hao 94 waombe ajira serikalini?
4. Ni vigezo gani vilivyotumika kuongeza hiyo ruzuku katika hiyo Hospitali?

*** Kiutaratibu Serikali uajiri watumishi na pale inapoona inafaa uwapeleka katika hizo Hospitali huku wakiwa tayari wameishaingizwa kwenye ajira ya Serikalini kwa hiyo hiki ulichokiandika kinahitaji maelezo ya ziada**
 
Ikiwa ni siku tatu tu toka Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na msafara wake wapite kukagua hospitali ya rufaa ya Hydom serikali imeamua kuajiri watumishi 94 waliokuwa wanafanya kazi hospitalini hapo bila ajira ya serikali. Watumishi hao waligikisha kilio chao kwa Katibu Mkuu Kinana wakati wa ziara yake hospitalini hapo.

Aidha ruzuku ya serikali kwa hospital hiyo imepanda kutoka 200mill mpaka 316 mill, ikiwa ni mwitikio wa serikali kwa kilio cha hospitali hiyo kwa Kinana alipotembelea hospital hiyo.

Mytake
Waliokuwa wana dai ziara za kinana hazina tija kanyweni uji sasa mlale! Na huo ni mfano tu!

Haya mazingaombwe yametegwa kumjenga na kumwandaa msomali kuwania urais, sasa maana ya mbunge jimboni ni ipi kama akiwasilisha maombi ya jimbo hayatekelezwi ni mpaka Kinana apite jimboni kuhakiki?
Yale yale usanii wa maccm.
 
551170_275052619275661_461030165_n.jpg

Ofisi ya Mkuu wa Shule ya Msingi Hydom
 
Inabidi wapinzani wauelezee huu usani wa kinana vizuri..ili wananchi waugindue..maana alipita tabora, singida ila mambo yapo vile vile ni danganya toto anafanya
 
Ikiwa ni siku tatu tu toka Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Kinana na msafara wake wapite kukagua hospitali ya rufaa ya Hydom serikali imeamua kuajiri watumishi 94 waliokuwa wanafanya kazi hospitalini hapo bila ajira ya serikali. Watumishi hao waligikisha kilio chao kwa Katibu Mkuu Kinana wakati wa ziara yake hospitalini hapo.

Aidha ruzuku ya serikali kwa hospital hiyo imepanda kutoka 200mill mpaka 316 mill, ikiwa ni mwitikio wa serikali kwa kilio cha hospitali hiyo kwa Kinana alipotembelea hospital hiyo.

Mytake
Waliokuwa wana dai ziara za kinana hazina tija kanyweni uji sasa mlale! Na huo ni mfano tu!

pesa zitatoka wapi angalua bunge ndio utajuwa...kila wizara ina pungufu ya bajeti mwaka jana kwa 65%
 
Back
Top Bottom