Wanafadhiliwa na mabeberu watakaokuwa wanawagawia rasilimali za nchi pindi wakichukua nchi.Waasi wanapata hela wapi?
Ndo swali hata mimi najiuliza hapa!!!!Huwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...
Wherefore dost thou present the unmistakable semblance of an exceedingly anachronistic and obsolescent personage of profound antiquity? Upon the portable cellular apparatus in thy possession, is Google conspicuously and inexplicably absent? Or ChatGPT???? or indeed Grok? A not inconsiderable proportion of the interrogatives propounded exhibit a degree of egregious inanity and puerile asininity that borders upon the intellectually insufferable.Kirefu cha FRN na ARC please, usichukulie kila mtu anaelewa habari hizi mpya
Ueamua kumkomesha πWherefore dost thou present the unmistakable semblance of an exceedingly anachronistic and obsolescent personage of profound antiquity? Upon the portable cellular apparatus in thy possession, is Google conspicuously and inexplicably absent? Or ChatGPT???? or indeed Grok? A not inconsiderable proportion of the interrogatives propounded exhibit a degree of egregious inanity and puerile asininity that borders upon the intellectually insufferable.
maeneo wanaoshikilia yana migodini yenye madiniWaasi wanapata hela wapi?
Mbona huko wamefanikiwa, je huku kwetu hatuaminiki?Wanafadhiliwa na mabeberu watakaokuwa wanawagawia rasilimali za nchi pindi wakichukua nchi.
zinapita bandari hizi Mkuu wana wafadhiliHuwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...
Kwa hiyo serikali iliyopo madarakani imeshindwa kuwazuia? mbona huku kwetu haiwezekani hii kutokea?maeneo wanaoshikilia yana migodini yenye madini
Nyaraka zinasemaje?, unapitisha siraha kwenda kupindua serikali ya nji nyingine?..hao wafadhili watakuwa wana nguvu sana.zinapita bandari hizi Mkuu wana wafadhili
Huku kwetu upenyo ni mdogo wa kuanzisha uasi wa kupindua nchi.Mbona huko wamefanikiwa, je huku kwetu hatuaminiki?
Inawezekana mfumo uliotengenezwa na mfaransa/ mbelgiji ni dhaifuHuku kwetu upenyo ni mdogo wa kuanzisha uasi wa kupindua nchi.
Huku wanajeshi wengi hawana shule na wanapewa sana bakshishi ndiyo maana hawawezi kuo-organize coup. Kwa Africa ukanda wenye mapinduzi ya kijeshi ni West Africa, refer Nigeria na Ghana. Kidogo na Africa ya kati mfano Congo.Kwa hiyo serikali iliyopo madarakani imeshindwa kuwazuia? mbona huku kwetu haiwezekani hii kutokea?
Na nyingi zilitawaliwa na mfaransaHuku wanajeshi wengi hawana shule na wanapewa sana bakshishi ndiyo maana hawawezi kuo-organize coup. Kwa Africa ukanda wenye mapinduzi ya kijeshi ni West Africa, refer Nigeria na Ghana. Kidogo na Africa ya kati mfano Congo.
Serikali za kiafrica zimefanyiwa capture na makundi ya kihalifu ...hayo makundi ndiyo yanayo shika nchi hata hapa Tanzania tumesha ingizwa...Huwa najiuliza hivi vifaa vya waasi huwa vinapita bandari/ Barabara gani hadi kuingia huko Kongo?...