Utazipata tu kwani huyo Munisi alipoona watu wamekaa pembeni kabisa na walikuwa wachache si wengi sana aliwaomba wasogee karibu na jukwaa na kuwaaambia eti waandishi wa habari wanataka kufanya kazi yao.Kutokana na kauli hiyo nikagundua kuwa anataka ipigwe picha ili ionekane watu walikuwa wengi kumbe NO!Maana baada ya Heche kuanza kuchangisha pesa tu ili kuratibu ziara yao wananchi walianza kuondoka taratiiibu.Mi nilikuwepo na nilishuhudia yote.Muanzisha tread ameongea yote sawa ila hili alisahau kulisema.Ninafanya jitihada kupata picha za makamanda hawa na nitazitia hapa pindi nitakapozipata mkubwa