Scolari Ndenga
JF-Expert Member
- Aug 4, 2008
- 271
- 43
Ninafanya jitihada kupata picha za makamanda hawa na nitazitia hapa pindi nitakapozipata mkubwaMkuu, wewe ni mwandishi profeshino. Nimefurahia sn uandishi wako ambao ni detailed na elaborative kabisa, ukiacha kuwa hujatuwekea PICHA. Ccm hakika sasa wakubali tu kuwa cdm ni chama chenye umakini, na waache kukitungia propaganda za kinapenape.
Ninafanya jitihada kupata picha za makamanda hawa na nitazitia hapa pindi nitakapozipata mkubwa
Ukizipata utupiamo tuzione. They talk more than words