Kishimba azidi kutamba,lembeli azidi kunywea

Acha uji ww mm naishi hapo shimba cjui k.shmba hata miktnk yke mpaka asombe wtu lembeli ndo chaguo ww standard7 peleka kulees
 

= lami
 
Kwa uzoefu wng mdogo km 1 ya lami inaweza kugharimu 900Mil hadi 1Bil.Ss hizo pesa yy kama mbunge atatoa wp???? Tuwe makini jmn.

kishimba hiyo ni pesa ya mboga tu, anamiliki migodi zimbabwe akishirikiana na mugabe, mashamba ya walowezi aliyanunua yeye.
 

Kishimba alimalizaje tatizo LA kuingiza meli /boat bila kufuata taratibu?
 
Lembeli wa enzi za Richmond sio huyu wa leo anaekaa na kina Lowassa, rostam na karamagi meza moja kama marafiki wapanga mbinu za kumshinda magufuli
 
kishimba hiyo ni pesa ya mboga tu, anamiliki migodi zimbabwe akishirikiana na mugabe, mashamba ya walowezi aliyanunua yeye.

Sasa si awaachie wengine huo ubunge aendelee na biashara zake
 
tehteh...
Join Date : 30th September 2015
 

wajinga ndio waliwao. usitegemee jipya kutoka ccm.ndo maana wanaimba "ccm ni ileile...mtaisoma namba." sasa mnategemea jipya kutoka ccm?
 

Km 1 ya lami unajua gharama yake au unashabikia tu!
 
Kwa uzoefu wng mdogo km 1 ya lami inaweza kugharimu 900Mil hadi 1Bil.Ss hizo pesa yy kama mbunge atatoa wp???? Tuwe makini jmn.

Kama uliuwepo akilini mwangu,ni 1.2 bn kwa 1 km,na lami hii ni ya kawaida wanasema Kama hizi zinazoingia kwenye mitaa yetu ya ndani kwenye makazi..ila kwa lami ya barabara ya kiwango haswa kama hizi za barabara kubwa. Kama hizi. Za strabaga,inakwenda zaidi ya hii 1.2bn
 
Hapa kahama ccm iko katika hali tete, Kishimba anatamani kujitoa maana ccm wanatumia pesa zake tu.
Kahama ni mabadiliko Kwa kwenda mbele, Lowasa na Lembeli wanangojea kuapishwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…