Kisheria zaidi: Serikali haijaipa Kenya madaktari

Seif al Islam

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
2,156
638
Nimesoma tangazo la kurugenzi ya mawasiliano ikulu kuhusu konachoitwa kutolewa kwa madaktari 500 kwa serikali ya Kenya kwa ajili ya kutoa huduma nchini Kenya.

Katika tangazo hilo, Waziri wa Afya amenukuliwa akisema kuwa wapo madaktari wengi waliohitimu ambao hawajaajiriwa na pia wapo walio nje ya mikataba na waliostaafu lakini bado wana uwezo na hivyo watakwenda Kenya kutoa huduma.

Kwa mantiki hiyo, hao madaktari wote ni free agents kwa kuwa hawana mkataba wa ajira na taasisi yoyote wala serikali . Kwa maana hiyo wanaweza kuajiriwa popote duniani bila kipingamiz chochote.

Kwa mantiki hiyo, kisheria huwez kusema kuwa serikali imetoa madaktari kwenda Kenya wakati haijawaajiri. Yaani serikali haiwez kutoa kitu isichokimiliki.

Nawasilisha.
 
Lakini unafahamu kuwa kwanini tanzania nchi yetu inawapa kipaumbele na kuwasomesha madaktari kwa miaka yote mitano na kuwalipia internship? then na sheria ya bodi ya mikopo inasema kuwa ni lazima mtu huyo atumike nchini si chini ya miaka mitano,then watu hao kuwa free agents ina faida gani??
 
Ni madaktari wote wanasomeshwa na mikopo ya serikali?
 
naomba source ya takwimu hizo tafadhali
tuachane na source za taarifa kwanza elezea mantiki ya hoja yako kuwa kwanin umeuliza vile nawe unafkiria vp katika upande wa suala hilo la kuwapa jamaa hao,madaktari unadhani lipo sawa?
 
So what, na kwanini wale mawaziri wa kenya wamekuja kwa magu? Kama ni hivyo si wangetangaza tu vacancy labda hata zoom.com then hao madr wakaaply? Idiot
Dah! nimeona hiyo avatar yako hata uzi nimesahau unahusu nini! jamani jamani hizi avatar zenu wengine mbadilishe zinatulewesha wengine
 
Nimesoma tangazo la kurugenzi ya mawasiliano ikulu kuhusu konachoitwa kutolewa kwa madaktari 500 kwa serikali ya Kenya kwa ajili ya kutoa huduma nchini Kenya.
Katika tangazo hilo, Waziri wa Afya amenukuliwa akisema kuwa wapo madaktari wengi waliohitimu ambao hawajaajiriwa na pia wapo walio nje ya mikataba na waliostaafu lakini bado wana uwezo na hivyo watakwenda Kenya kutoa huduma.
Kwa mantiki hiyo, hao madaktari wote ni free agents kwa kuwa hawana mkataba wa ajira na taasisi yoyote wala serikali . Kwa maana hiyo wanaweza kuajiriwa popote duniani bila kipingamiz chochote.
Kwa mantiki hiyo, kisheria huwez kusema kuwa serikali imetoa madaktari kwenda Kenya wakati haijawaajiri. Yaani serikali haiwez kutoa kitu isichokimiliki.
Nawasilisha.
Tatizo tu ni pale serikali inapojiingiza kuwa ajenti wa ajira hiyo. Sijui hiyo mikataba ya miaka miwili itakuwaje ni kati ya mwajiriwa na mwajiri na third party (serikali ya Tanzania) itaingiaje au itakuwa kati ya mwajiri na serikali ya Tanzania kama ajenti? Kwa maoni yangu serikali ingewashauri wakenya watangaze kazi na wachague wenyewe. Hii inatuingiza katiaka mgogoro usio wa lazima na pia inawingiza katika mgogoro madaktari wetu na wenzao wa Kenya.
 
So what, na kwanini wale mawaziri wa kenya wamekuja kwa magu? Kama ni hivyo si wangetangaza tu vacancy labda hata zoom.com then hao madr wakaaply? Idiot
Tena wewe ni DOUBLE IDIOT kabisa ... mbona serikali haijawahi kutangaza kua imetoa wafanyakazi wa ndani kwa Omani, Soud Arabia au Dubai

Ucha uzuzu wewe hayo ni maonyesho ya "Sanaa za Siasa" za Bongo
 
tuachane na source za taarifa kwanza elezea mantiki ya hoja yako kuwa kwanin umeuliza vile nawe unafkiria vp katika upande wa suala hilo la kuwapa jamaa hao,madaktari unadhani lipo sawa?
1. Nakubaliana na mtoa hoja kuwa jamaa ni free agents.
2. sikubaliani na serikali yetu kukubaliana na serikali ya kenya just because wote ni serikali. Madaktari wa kenya walikuwa na madai yao ya msingi kabisa. Serikali ya Tanzania imewasikiliza na wao? Huku kwetu walimu wana matatizo kibao haitakuwa fair siku wakigoma suluhisho liwe kuagiza walimu wa kenya. Ni hayo tu.
 
mgomo wa madaktari kwa kenya umeisha tayari (chanzo BBC) kenya wameomba madaktari TZ kwasababu wanadai kuwa wao wana uhaba wa watu hao. licha ya hivo,ila kwa taratibu zetu pia na uhitaji wa madaktari hiyo imekaa vp? na sheria ya bodi ya mikopo au serikali nayo imeangaliwa?
 
Nimesoma tangazo la kurugenzi ya mawasiliano ikulu kuhusu konachoitwa kutolewa kwa madaktari 500 kwa serikali ya Kenya kwa ajili ya kutoa huduma nchini Kenya.

Katika tangazo hilo, Waziri wa Afya amenukuliwa akisema kuwa wapo madaktari wengi waliohitimu ambao hawajaajiriwa na pia wapo walio nje ya mikataba na waliostaafu lakini bado wana uwezo na hivyo watakwenda Kenya kutoa huduma.

Kwa mantiki hiyo, hao madaktari wote ni free agents kwa kuwa hawana mkataba wa ajira na taasisi yoyote wala serikali . Kwa maana hiyo wanaweza kuajiriwa popote duniani bila kipingamiz chochote.

Kwa mantiki hiyo, kisheria huwez kusema kuwa serikali imetoa madaktari kwenda Kenya wakati haijawaajiri. Yaani serikali haiwez kutoa kitu isichokimiliki.

Nawasilisha.

Jibu ndiyo, serikali ndiyo inawapa leseni madokta ya kufanya kazi, hivyo wakienda kimya kimya inaweza aamua kuwafutia leseni na wasifanye kazi kokote duniani.

Daktari ni kama mchezaji wa mpira, lazima awe cleared na team yake na chama cha mchezo wa nchi husika.
 
mgomo wa madaktari kwa kenya umeisha tayari (chanzo BBC) kenya wameomba madaktari TZ kwasababu wanadai kuwa wao wana uhaba wa watu hao. licha ya hivo,ila kwa taratibu zetu pia na uhitaji wa madaktari hiyo imekaa vp? na sheria ya bodi ya mikopo au serikali nayo imeangaliwa?
na hilo nalo ni swali muhimu sidhani kama sisi Tanzania tumejitosheleza kwa madaktari.
 
Back
Top Bottom