Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,148
- 14,488
Huu uchaguzi wa mwaka huu unaendelea kutuonesha jambo la msingi sana la kuwa mamlaka yote hutanguliwa na watu.
Mwaka huu tumetangaziwa kutakuwa na zoezi la uchaguzi mkuu lakini cha kushangaza kila mgombea ameanza kampeni kabla ya tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa kampeni. Kuanzia chama tawala na vyama vya upinzani vyote ambavyo wagombea wao wamejitokeza kuchukua form kwa namna moja au nyingine wametoa ahadi za vipaumbele vyao kitu ambacho siyo sawa.