kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
[HASHTAG]#Habari[/HASHTAG]:Halmashauri ya wilaya ya Kishapu imelazimika kuwafukuza kazi watumishi wake sita kwa makosa ya uzembe na utoro kazini wakiwemo madereva watatu waliokuwa wameajiriwa kwa muda baada ya kugundulika kuwa hawajakidhi vigezo vya ajira huku baadhi ya idara zikiwa zimekosa watumishi baada ya zoezi la kuwaondoa kazini watumishi zaidi ya 44 wenye vyeti feki kukamilika.