Mbunge wa Babati Mjini (CCM), Kiseryi Chambiri, amesema anamuomba Mungu jina la Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa liwe ni miongoni mwa majina matatu ya wagombea urais yatakayofika katika Mkutano Mkuu wa CCM kwani litakapoonekana watakuwa wamemaliza kazi na uchaguzi.
Kiseryi ulipataje ubunge Tarime ukaja kupata tena ubunge Babati? Bahati hiyo Lowassa hana,usiangalie kumaliza kazi mapema angalia itakuwaje Lowassa akiwa rais? Wengi sisi Lowassa hatumwogopi tunachoogopa ni watu walionyuma yake, ni watu hatari kuliko maelezo.
Bora tuchelewe kupata ushindi kuliko kukabidhi ikulu mafisi,wajukuu zetu watakuja piga viboko makaburi yetu.