Samvulachole
JF-Expert Member
- Oct 22, 2006
- 413
- 118
Hii ni barabara ya Longido kwenda Arusha. Imejengwa na serikali. Kuna abaya gani na sisi tukajengewa barabara nzuri kama hii tena ni short cut kutokea mbuga ya wanyama ya Selous
Sasa sisi tunalipa kodi kama watu wengine lakini hatutembelewi na viongozi wajuu wa serikali, Mbunge wetu ni bosi mkubwa sana Tamisemi lakini hasikilizwi.
Tulikosea wapi? na kama tuliikosea serikali tunaomba radhi. Tunaomba barabara na Umeme linguine tutafanya wenyewe....