nakushauri nenda kaulize wizara ya viwanda na biashara utapata majibu,waweza pia kwenda huko kisarawe kukiangalia ukauliza.....ukipata taarifa uje utujuze hapa tujue kama ni cha wahindi,wachina wazungu au waswahili tujue maslahi yao yakoje.ntakusaidia kujua maslahi yao ukileta taarifa hapa....Habari zenu wakuu.. Nilikua nauliza mwenye taarifa yoyote kuhusiana na hiki kiwanda cha saruji kama kimeanza kazi, na vipi kuhusu ajira zao?
poa mkuu tumekupataOk. Thanks
Nina degreeya Archaeology, naomba kazi ya kufundisha HISTORY. Nikiwa chuo nilisona baathiya course kama EP 101 na CT100 ninauzoefu wa kufundisha wa mwaka mmojakatika shule ya secondary pia nimewai fundisha English Medium Nursery and primary schoolNinao uwezo wa kuandaa Lesson plan na kufanya shughulizingi ne kama mwalim. Kwamawasilianozaid piga NO:0766717965/0688583311. Kwa mkuu wa shule atakayehitagiCV naweza mtumia kwa Email; alexanda.kasomo@yahoo.com. Nikotayali kufundisha Mkoa wowote kwa mshahara unaokithi mahitaji.