Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Husika na kichwa hapo juu, hiki Chuo kipo maeneo ya Tegeta (karibu na Wazo)
Kama kuna Mwalimu au mwanafunzi anayesoma hapo Naomba kufahamu kuhusu kozi za Ualimu zinazotolewa hapo na Mazingira ya chuo kwa ujumla hasa kwa Cheti na Diploma zitolewazo hapo? Pia kwa masomo mwaka huu 2017/18 yataanza lini kwa kada za Ualimu? Kuna Ndugu yangu anaomba nimsaidie mawazo ya kusoma hapo.