Kisanga cha mahaba

Kisanga cha mahaba

.........
Ninachohitaji kutoka kwenu wadau ni kuniambia huyu binti atakuwa na tatizo gani kichwani
na je niendelee nae tu nimuache tu abaki na hiyo mimba kama zawadi yake ya kumbukumbu maana watoto ninao wa kutosha.Nitamtunza mtoto iwapo kuna ulazima.

Pia kama kuna mwenye uzoefu wa wake wawili aniambia mbinu za kumudu maana najiona nikiwa na mitara

Mkuu Ubongokid muhimu ungeanza kuomba ushauri kuhusu wewe una matatizo gani kichwani mkuu, huwezi kuwa na mke nyumbani alafu ukafanya yote hayo uliyofanya na kutolesha mimba zote hizo na bado unaona kawaida tu.
 
We jamaa wanawake umewajulia ukubwani,unaruhusu kimchepuko kimkorofishe mkewe
 
mtoto azaliwe na umtunze acha kuua maana huna tofauti na watu wasiojulikana.

Pili acha uzinzi wewe unahatarisha maisha ya mke wako na watoto wako,

watoto ambao wameshazaliwa unawaharibu kisaikolojia kutokana na ugomvi utakaokuwa unauleta kila siku. nashikwa na hasira sana unavofanya upuuzi kama huu,
 
Kichwa cha habari ni tofauti na unavyotaka tukushauri!
 
Back
Top Bottom