Kisanga cha mahaba

Kisanga cha mahaba

Alikua anatafuta unafuu wa maisha!! Nyumba umpangie, umkune kitandani , matunzo uumpe halafu atake kuondoka???

Mtunze na mimba yake maana uliyataka mwenyewe!!
 
Nia yako na madhumuni yako uliyapata na yakafanikiwa kupitia huyo binti, wewe ndo umemzoesha hiyo mitombo ya ivo leo unasema anakuboa, una mke hakati kiu yako ukaona heri umchukue huyo akate kiu yako, ametoa mimba kwa ajili yako na hiyo kaamua kuibeba unataka kumtelekeza, hebu kuwa na huruma jamani mpunguzie ukatili huyo dada, laana yake itembee na wewe siku zote za maisha yako km hii ni kweli na sio chai
 
Very stupid!

Haya mambo yanatutokea wanaume ila sio mambo ya kusema hadharani kama hivi!

Umepangisha chumba, ukagegeda mwenyewe, ukatia mimba, alafu ushauri tutoe sisi?

Take responsibility for your own stupidity.
 
Wadau,
Kwanza niweke wazi,ninafamilia tena nzuri tu namshukuru Muumba ila sasa kale katabia kapiga cross mara kwa mara nimekazoea kiasi sio sana ila mwaka jana nilikutana na Danga moja ambalo mpaka sasa sijui lilianzaje.Ilikuwa hivi;

Siku moja nilikuwa na vijisenti nikawaza kwa nini kila mara nahangaika na videmu tofauti si bora tu niwe na demu mmoja plus mke nitulie niache kuruka ruka.Nikaanza maandalizi,nikapanga geto,nikaweka kitanda,godoro na seti ya sebuleni,mpango mzima ulikuwa nitafute demu ambaye atakuwa na vigezo hivi,awe mdogo kiumri,awe anapenda bata kiasi,awe anapenda kufanya kwa sana na asiwe mchunaji yaani mpenda pesa.

Kama vile kuna mtu alikuwa anapanga basi nikakutana na kabinti fulani hivi barbarani nikakapa lift then tukawa tunaongea,nikakaomba namba ya simu kakawa kanazingua lakini baadaye kakanipa.Nikamnulila msosi then baada kama ya wiki nikamtafuta tukaonana tukaongea sana lakni nikawa nimemuweka sawa kwamba nataka mzigo.Ikafika siku ya mzigo nikamchukua mpaka Geto nilipopaandaa nikala mzigo ile mbaya.

Kiukweli alijituma sana kwa siku ya kwanza na kwa jinsi tulivyokutana sikutegemea angekuwa na ufundi ule.Kulingana na uzoefu wangu hasa kwenye hii michezo nilimuona kuwa na vile viwango vya kazi yaani anajituma kwenye mchezo.Kiukweli nilipiga mzigo kwa muda mrefu mpaka kesho yake akashindwa kutembea ikabidi tulale mpaka asubuhi

Pale geto hata kitanda sikuwa nimefunga so tulipiga vitu na yeye ndo akavipanga.kesho yake nikamwacha akapanga kila kitu nakuweka mazingira safi.Nikawa nimeoa bila hata kulipa mahari.Kiukweli nilioa mwananmke niliyemfahamu within a week na tukawa tunakaa fresh tu ingawa kwneye ubongo wangu wa nyuma nilikuwa makini sana maana hawa viumbe ni shida sana.

Basi tukapiga mwezi wa kwanza vizuri,binti anapika kwa kukarangiza kabisa,na mimi nikanogewa mpaka habari ikavuja mpaka kwa Mama mwenye mimi ila kwa kuwa tunajuana tuliyamaliza tu vizuri.Huyu binti alipoona nimeyamaliza akachukia nafikiri alitaka kufanya mapinduzi akawa sasa anampandia mama watoto wangu na kulazimisha kutambulika kama mke mdogo aka mke mwenza.Nikausoma mchezo nikajua hapa nimeshachemsha.

Nikamwambia huyu binti namwachia kila kitu awe huru apambane na maisha yake ukumbuke haka kattoto ni ka miaka 20 hivi tu ila kana mtoto mmoja kwa hiyo kalianza haya mambo mida.Nilipokapa hiyo habari kakawaka mbaya mpaka kakakorogo sumu eti kanataka kujiua,nikaona isiweshida nikamwambia tulia mtoto sikuachi maana uanaume una changamoto zake.Basi Penzi limeendeleaa miezi miwili,mitatu tunakula Bata kwa Mbele yaani nikawa kijana ghafla,Disco Friday to Sunday.Mke Wangu usitake kujua alikuwa wapi,ili wanaume ndo tunajua huwa tunafanyaje.

Sasa baada ya penzi kunoga sana tukaanza kupiga kavu mara PAAP binti akaanza kudai anataka kuzaa na mimi nikamwambia aisee ninayo mashine ya kutotoa watoto hata nikitaka mia,Mimi na wewe bado sana kuzungumzia kuzaa.Binti akangangana akadaka kamimba ka kwanza,nikamind sana ila sikumwambia atoe,Binti kwa kuona ninaanza kumbadilikia akaitoa mwenyewe kimya kimya.Ikawa kawaida yake akidaka ananiambia akiona nimenuna anatoa nikajua hapa nimepatikana.

Sasa issue ikawa kuwa huyu Demu anakaba hadi penati,Ikafikia hatua nisipoonana naye ananifuata mpaka nyumbani sijui hata alipajuaje,anafika anatuma mtu wa BODA BODA ananiita nikitoka ni yeye anasema twende ukanipe kimoja then urudi ama la siondoki hapa.Hako katabia kakanikera mpaka nikaanza kumpa kipondo tena cha maana ila bado akawa hataki.Ikawa ndo mchezo naenda nampiga kikubwa na kipondo anapata akawa kama mtumwa wangu.

Nimekaa naye karibu miezi sita,baadaye nikasema nambwaga,jumla ila tukavurugana mpaka kesi ikafika polisi ila ndo tukawa tumegandana.Mwaka huu April nikkamishwa kikazi,sasa binti alipogundua nahama mkoa na sitahama naye alikuwa na ujazito wangu akagoma kuutoa,nikataka kurudisha nyumba kwa mwenyewe akagoma kuhama hata nilipomwambia nitampa kodi aende kokote akagoma akasema atalipa kodi mwenyewe na kumzaa mtoto wake.

Wadau huyu binti nashindwa kumuelewa shida yake ni nini,maana kama ni uzuri anao wa kisela ila sasa anangangana mpaka namshangaa.Hadi leo bado ananitafuta anasema nimemtekeleza anataka niwe naenda angalau mara moja kwa mwezi kumgegeda ila mi naona anataka kuharibu maisha maana mimi ninataka nitulie na Familia huku niendelee na maisha yangu maana hiki kipute kinachefua.

NB:Huyu binti sio kwamba ni muaminifu kwangu kwani nina data zake za kutosha na ana mashefa kadhaa ambao ninawajua kwa hiyo niliona huyu ndo atafaa kwa ajili ya kukata kiu kuliko kubadili kila siku ila sasa anaponiganda ndo ananikera.

Ninachohitaji kutoka kwenu wadau ni kuniambia huyu binti atakuwa na tatizo gani kichwani na je niendelee nae tu nimuache tu abaki na hiyo mimba kama zawadi yake ya kumbukumbu maana watoto ninao wa kutosha.Nitamtunza mtoto iwapo kuna ulazima.

Pia kama kuna mwenye uzoefu wa wake wawili aniambia mbinu za kumudu maana najiona nikiwa na mitara
Mkuu inamaana ulianza kumiliki usafiri kabla ya kupanga ghetto,kuwa na kitanda na godoro?.Katika andiko lako umeainisha baada ya kuamua utafute mmoja use naye maandalizi yako ulipanga geto ,ukanunua kitanda na gidoro then ukakutana na kabinti ilukakapa lift.
 
Haha nimeshindwa hapo unapofikiri kumuachia mtoto kama zawadi, na utatoa matunzo tu endapo kuna ulazima. Najua kila mtu ni wa aina yake, ila wewe ni wa kipekee zaidi.
 
Sema sisi wanaume wa macho juujuu ndivyo tulivyo.tunawachogaga mademu bila sababu yoyote.kwa hiyo huyu demu umemchoka na amakukinai tayari kiasi kwamba unamuona kero.wakati wewe mwenyewe uliamua kuoanga geto jingine kwa ajili hiyo halafu inakuwa kero tena.Pia uzoefu wa kuishi na wake wawili tayari unao.we endelea tu mbona unaweza mkuu
 
Watu kama nyinyi ndo mlipaswa kuwa wateja wa mkemia mkuu kwa ajili ya mkojo
 
Sema sisi wanaume wa macho juujuu ndivyo tulivyo.tunawachogaga mademu bila sababu yoyote.kwa hiyo huyu demu umemchoka na amakukinai tayari kiasi kwamba unamuona kero.wakati wewe mwenyewe uliamua kuoanga geto jingine kwa ajili hiyo halafu inakuwa kero tena.Pia uzoefu wa kuishi na wake wawili tayari unao.we endelea tu mbona unaweza mkuu
 
Back
Top Bottom