Kisandu ni janga la kitaifa! Taifa lifunge na kuomba kwa ajili yake!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Huyu kiumbe anaonekana kuwa na matatizo makubwa sana ya kisaikolojia yanayomkabili.
Nahisi ana kabiliwa na ugonjwa wa hallucination...
Ninaiomba wizara ya afya impeleke India huyu kiumbe akapate matibabu ya haraka sana. Naamini kama rais aliweza kumtuma Kinana India, pia atakuwa na uwezo wa kumtuma na Kisandu akatibiwe mapema iwezekanavyo...

Deogratius Nalimi Kisandu
 
Utoto unakusumbua ukikua utaacha
 
Tehehehe kumbe Kinana alitumwa kutibiwa, CCM waliupotosha umma kwamba kuna kazi katumwa akafanye.
 
Tatizo lake(kama analo)halina madhara yoyote kwa Taifa letu,tatizo letu la msingi ni utawala unaolazimisha "kuhawilisha" PhD ya maganda ya korosho ili kuitumia kwenye masuala nyeti ya kuendesha nchi,matokeo yake ni kuvurugika kwa uchumi wa Taifa letu.

Kisandu hata atembee mtupu barabarani hayatuhusu,ila huyu anayeratibu utekaji na uteswaji wa wakosoaji wake,aliyejiapiza kumshughulikia yeyote ndani ya dk.5,huyo ndiye anayehatarisha amani yetu,ya kisandu ni yake na familia yake.
 
Back
Top Bottom