KISANDU aokoa maisha ya wanachuo wa SAUT

KISANDU aokoa maisha ya wanachuo wa SAUT

Katika kikao kifupi kinachoendelea hapa Mwanza na baadhi viongozi wa chuo cha SAUT na ndugu Kisandu wa NCCR-mageuzi ni namna ya kuwasaidia wanachuo ambao hawajapata mikopo yao. mapendekezo yao ni namna serikali inavyoweza kuwasaidia kuondokana na ukata kwani hawajui wataishi vipi, hata hivyo Kisandu kawafungulia njia kwa kumwalika MH.Mbatia ili wafanye kila njia kuokoa maisha ya wanafunzi hao pamoja na hayo kisandu amechangia 500,000/= iliziwasukume walau kwa siku kadhaa.

Ntaendelea kuwapa Update.....mpaka mwisho wa majadiliano

acha upuuzi, hakuna kikao chochote kilichokaa leo hii. Ofic za SAUTSO na chuo zimefungwa. Leo siku ya wagalatia hafanyi kazi mtu. Laki 5 wakigawana wanafunzi 215 kila mmoja ataambulia sh 2325!! Itasaidia nn?.
 
ndio maana jana nikasema kuna mtoa hoja juu ya wanafunzi wa saut, alikuja hapa na ajenda yake binafsi na leo yanadhihirika hapa, nia nadhani ilikuwa kuchafulia watu fulani na kupamba watu fulani. mods nina wasiwasi wa multiple IDs hapa.

mtoa hoja, karibu uni pm unikonvisi kuwa am wrong!

let us be realistic, and truthfully.

tusitumie vibaya uwepo wa shida kwa wadogo zetu kwa maslahi binafsi

Acha kurukaruka, uzi wa jana ulikua na mantiki. Huyu jamaa hapa ni mzushi, hakuna kikao kinachofanyika leo hii. Wenje kajificha wapi mpaka vyama vingine vije jimboni kwake kushughulikia matatizo yanayomhusu?
 
Huyu Kisandu si ndo alitangaza nia kugombe Urais 2015 kupitia cdm? Ama kweli ONLY A FOOLISH DOG, BARKS AT THE FLYING BIRDS.
 
Hiv wewe mtoto wa mnyonge ndo nape wa kisandu? Au ndo kisandu mwenyewe? Coz kila ki2 afanyacho kisandu unapost. Mwambie actafute umaarufu itamcost.
 
Hongera Kisandu kwa kuwajali vijana wenzako katika kipindi hiki cha changamoto...
 
Kimya kingi kina mshindo....man!! Just wait n c!! We are accomplishing something!!

Kwa mujib wa gazeti la makorokocho, eti, inasemekana eti, waziri mkuu Pinda alishuka Mtwara akiwa amebeba kiroba cha ela, na eti, vuguvugu la gesi ndo lishapozwa hivo... samahani lakini...

Sorry mods back to topic...:focus:
 
Huyu mgombea uraisi bwana kisandu ndio ameanza mbio za uraisi nin? Kama wenzake akina E.L wanavyopita huko makanisani na magunia yaliyojaa pesa.
 
Uongo ni mzigo Deogratius Kisandu

Katika kikao kifupi kinachoendelea hapa Mwanza na baadhi viongozi wa chuo cha SAUT na ndugu Kisandu wa NCCR-mageuzi ni namna ya kuwasaidia wanachuo ambao hawajapata mikopo yao. mapendekezo yao ni namna serikali inavyoweza kuwasaidia kuondokana na ukata kwani hawajui wataishi vipi, hata hivyo Kisandu kawafungulia njia kwa kumwalika MH.Mbatia ili wafanye kila njia kuokoa maisha ya wanafunzi hao pamoja na hayo kisandu amechangia 500,000/= iliziwasukume walau kwa siku kadhaa.

Ntaendelea kuwapa Update.....mpaka mwisho wa majadiliano
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha sas Tsh 500,000 kwa wanafunzi wangapi? Then zikiisha hzo inakuwaje? watanzania kwa short cut?
 
Mleta mada mbona kama kaingia mitini,tunataka ushirikiano wako.Tupe updates na picha za hao viongozi wa SAUT waliokuwa na kikao leo jumapili siku ya ibada.Vinginevyo tutashinikiza upigwe ban kwa kosa la kutumia matatizo ya watu kujitafutia umaarufu huku ukitunga stori za uongo!
 
Katika kikao kifupi kinachoendelea hapa Mwanza na baadhi viongozi wa chuo cha SAUT na ndugu Kisandu wa NCCR-mageuzi ni namna ya kuwasaidia wanachuo ambao hawajapata mikopo yao. mapendekezo yao ni namna serikali inavyoweza kuwasaidia kuondokana na ukata kwani hawajui wataishi vipi, hata hivyo Kisandu kawafungulia njia kwa kumwalika MH.Mbatia ili wafanye kila njia kuokoa maisha ya wanafunzi hao pamoja na hayo kisandu amechangia 500,000/= iliziwasukume walau kwa siku kadhaa.

Ntaendelea kuwapa Update.....mpaka mwisho wa majadiliano

naona mr kisandu umejitoa mhanga baada ya mbunge wao wenje aliyewaahidi wakati wa kampeni kuingia mitini na simu hapokei.
 
Back
Top Bottom