ungekuwa unampenda kwel huy mchaga wala ucngechepuka nakuombew uwakose wote mchaga na mtoto
Daah kwanza pole. Nahisi jiandae tu coz kuna kitu (mtu) kimoja lazima ukipoteze
Mkuu banki, hiyo comment ni yangu ama??
Kwi! kwi! Kwi! Una hatari wewe....Tena nakuombea huyo mtoto asiwe wako
Iwe ni njemba nyingine ilipiga kisela ikaacha na mimba
Hivi kwann kila story zenu za kutunga lazima zihanze hoo! na soma chuo furani au hanasoma chuo furani. Kiukweli sijawai kuhona mtu hanajishusha. Kwamba kondakta wa daladala la mbagara ,fundi viatu ,muhuza mitumba karume ,mvubuwa mitaro kariakoo,dereva boda boda
Na nyingine nyingi tu kazi mbaya mnazohona nyie kuzitaja hutajishusha .hina baki stori hooo ! Niko ,bot,tra ,tpa . .mbona husemi nimesoma veta au niliferi form 4 nahizo kazi nilizozitaja hapo mwanzo.vijana tuhachane na sifa za kijinga .mdaa au kusubiri.
dah yaani nyie wanaume bac tu.
Umeonaee Yani kuna wanawake wengine hawana akili umeshambiwa ana mtu kwa iyo yeye wa kuzugia. Kusoma hujui basi ata picha. Anaekupenda awezi kukwambia ivo. Polen wadadaNa nyie wanawake noma kweli, ushaambiwa jamaa anawake nawe bado tu umo
Umeonaee Yani kuna wanawake wengine hawana akili umeshambiwa ana mtu kwa iyo yeye wa kuzugia. Kusoma hujui basi ata picha. Anaekupenda awezi kukwambia ivo. Polen wadada
Hivi kwann kila story zenu za kutunga lazima zihanze hoo! na soma chuo furani au hanasoma chuo furani. Kiukweli sijawai kuhona mtu hanajishusha. Kwamba kondakta wa daladala la mbagara ,fundi viatu ,muhuza mitumba karume ,mvubuwa mitaro kariakoo,dereva boda boda
Na nyingine nyingi tu kazi mbaya mnazohona nyie kuzitaja hutajishusha .hina baki stori hooo ! Niko ,bot,tra ,tpa . .mbona husemi nimesoma veta au niliferi form 4 nahizo kazi nilizozitaja hapo mwanzo.vijana tuhachane na sifa za kijinga .mdaa au kusubiri.
kosa nimetenda ila kumwambia mchaga sio leo wala kesho..!! Nipe ushauri staki kumpoteza mchaga
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Una tatizo kubwa sana la kisarufi katika uandishi wako.
Hizo h na r unazichopeka sehemu ambazo hazitakiwi...
Hivi kwann kila story zenu za kutunga lazima zihanze hoo! na soma chuo furani au hanasoma chuo furani. Kiukweli sijawai kuhona mtu hanajishusha. Kwamba kondakta wa daladala la mbagara ,fundi viatu ,muhuza mitumba karume ,mvubuwa mitaro kariakoo,dereva boda boda
Na nyingine nyingi tu kazi mbaya mnazohona nyie kuzitaja hutajishusha .hina baki stori hooo ! Niko ,bot,tra ,tpa . .mbona husemi nimesoma veta au niliferi form 4 nahizo kazi nilizozitaja hapo mwanzo.vijana tuhachane na sifa za kijinga .mdaa au kusubiri.
Hapo subiri tu matokeo ya mtihani uliofanya na ujiandae kwa majibu yoyote yatakayotoka.
Wanaume inafika kipindi muwe na huruma na wanawake.
hukujua kama una mtu wako wakati unaanza mahusiano wanaume acheni tabia za kuwachezea wanawake