Kisa kudate bila kondom kaniacha

Aliyeelewa naomba aninukuu anieleweshe...bado sijaelewa hii mada
 
🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 

Attachments

  • 1431460697267.jpg
    22.6 KB · Views: 234
naona ni part one anakuja na part two aliona asizitoe zote kwa pamoja.
au na ww ni bongo movie. maana kwa ku hapia hawajambo
 
usedcountry….. umekosea kidgoo, inamana mtoto wangu ataniletea akijifunguaa, ila hawezi kuwa na mimi,
 
daaah TAMALISA ulipatiaa mtoto kumbe anatakaga maisha ya kudekezwa…. baada ya ku apologize toka juzi mtoto leoo katiki, nanukuuu…

NAKUPENDA SANA (JINA NALIHIFADHI) SIPENDI KUKUPOTEZAA HAYA NAOMBA NENDA KAZINI MME WANGU….
 

Anakutisha tu huyo,hivi unadhani kujiua ni kazi ndogo? Kwanza wanaotaka kujiua hawasemagi
 
Naona anaipenda condom kuliko wewe, sijui unaonaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…