Kisa kudate bila kondom kaniacha


Ile ya mwanzo ina unaunafuu!
 
KU-DATE iv ndo kugegedana au?,,,binafsi sijaelewa ngoja nisome taratibu
 
Mi sijaelewa hapa .....kwani tatizo nini??? hataki kondom mtumie au umechepuka na mtu bila kondom???
 
Mara nyingine tutumie kiswahili hata kama kina maneno ya wazi sana
 
Jama wewe tu kutuelezea ni tatizo
je KUMTULIZA MPENZI WAKO ITAKUAJE?
 

***** walah.....wanaume tumebak wachache....hii nn sasa kila sekunde wanaleta uzi oooooh cjui nn,mara fyoko2......sasa ina maana wanataka kusema wanawake nowdays wametuzd ujanja au???kwq nn had mashudu kama haya humu ndam????NALEMAGA GETE
 
Kama kuandika kwenyewe ndio hivi sishangai kakukimbia, tatizo wala sio condom wala mimba, HUELEWEKI!
 
Kwani kudate ndio nini?
Naombeni mnijuze ndugu zangu!
 

hivi mm ndo sielewi maana ya neno kudate? The boss njo unifafanulie hapa sielewi kabisa.
 
Ambao hamjaelewa hamko 'attentive to details'... Ni hivi kamgonga dem wake na anahofu kuwa kapata mimba... Sasa hilo swala limemuumiza na ameamua kuchukua 'measures' flani flani to fly away from the guy. But kama atakuwa na mimba ya mshikaji, she will fly back...
Hapo je?
 

Ahaaa kumbeee!
sasa mwambie asinisahau kuwa biashara yangu ya sanda na majeneza bado naifanya, ntashukuru km atanipa tenda hiyo mpwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…