Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 951
- 412
habri wakuu…. jamni naombeni msaada mpenzi wanguu amepnki sanaa kisa nimedate nae bila k anadaii nimemharibia maishaa na anadaii ammeniacha na kama ni mtoto wangu atanitafta, ni mpenzi wangu tuna miezi 6 sasahivii……. naombeni ushaurii maana amedaii atahama eneo analoishiii na amedaii amechoka kuumizwa mapenzi yanamuumiza sanaa… .jamni nisaidienii na anadai anatka kujiuua huko aendakoo….
msaada wadauu