SASA NAKUSHAURI. KAA TAYARI.habarini wakuu nipo kwenye ugomvi mzito na msichna wangu ambaye uhusiano wetu toka uanze ni wa muda kiasi kama miaka miwil hivi.
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na mimi ni muislamu.
Sasa kwa wale ambao mmewahi pitia changamoto kama hii naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu... Ila ningpenda kujua msimamo wake kwanza anasimamia wap... Then uknpa jibu ntajua nikushaur vp...!habarini wakuu nipo kwenye ugomvi mzito na msichna wangu ambaye uhusiano wetu toka uanze ni wa muda kiasi kama miaka miwil hivi.
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na mimi ni muislamu.
Sasa kwa wale ambao mmewahi pitia changamoto kama hii naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo msichana wako akifa na wewe utajiua?,jibu ni NO ,basi mwache aende zake utafute mtu mwingine anayekufaa,huyo keshapata mtu mwingi anakutafutia sababu akutose blaza jiongezehabarini wakuu nipo kwenye ugomvi mzito na msichna wangu ambaye uhusiano wetu toka uanze ni wa muda kiasi kama miaka miwil hivi.
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na mimi ni muislamu.
Sasa kwa wale ambao mmewahi pitia changamoto kama hii naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo msichana wako akifa na wewe utajiua?,jibu ni NO ,basi mwache aende zake utafute mtu mwingine anayekufaa,huyo keshapata mtu mwingi anakutafutia sababu akutose blaza jiongeze
Pole sana mkuu... Ila ningpenda kujua msimamo wake kwanza anasimamia wap... Then uknpa jibu ntajua nikushaur vp...!
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Elewaneni tu,dini sio tatizo;ikishindikana kila mmoja akae kwenye dini yake ndoa mfungie bomani
Kama unampenda sana inabidi wewe ubadili,hakuna shida.
Wa kwangu ni muislamu lakini hana shidahabarini wakuu nipo kwenye ugomvi mzito na msichna wangu ambaye uhusiano wetu toka uanze ni wa muda kiasi kama miaka miwil hivi.
na tatizo kubwa liliopo ni utofauti wa dini zetu yeye ni mkristo na mimi ni muislamu.
Sasa kwa wale ambao mmewahi pitia changamoto kama hii naombeni ushauri wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa kwangu ni muislamu lakini hana shida
CC Zero IQ
Temana na bi mkubwa wake we angalia msimamo wake huyo mwanamke,mimi huyu shida ilianza siku ambyo mama ake alipouliza kwani hyu mwenzako dini gani ndio chanzo cha balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri ni uachane naye na utafte wa dini yako mkuu
Weka mimba iyo kitu ushauri utafuata
Siyakudumisa Nkosi Yezulu
naona kma na bhati mbya nao mna kila niliye kuwa naye kwa muda mfupi tu bhasi alikua posa zitaanza kuja kwao za kutosha mwisho siku nikawa natoa mkono wa kwheri, sababu nilihitaji mtu wa kumwelewa vzur kabla cjachukua hatua, ndio nikasema sasa nahamia upde wa pili na huku kasheshe ndio hili
Sent using Jamii Forums mobile app