NGOJA NIKUPUUZE, manake hujui hata kupangilia paragraph!!Chige huu uzi wangu una vitu vidogo ambavyo unashindwa kuvielewa, na kwa maana hiyo huna uwezo wa kuuelewa uzi wangu huu.
Uko vizuri sehemu nyingine lakini hapa kwenye uzi wangu umekaza shingo yako.
Kwanza hujui kuwa kwenye uzi wangu nimeandika maisha ya rafiki yangu na siyo maisha yangu, hilo wewe hulijui.
Unajua nimeandika historia ya maisha yangu, na unapokuja kwenye komenti unakuta nimeandika tofauti unachanganyikiwa.
Kama jambo dogo hivyo umeshindwa kulielewa, basi bora ukae kimya.
Mwanzo umekomaa kusema eti nimefuta post, nimekuthibitishia kuwa sijaifuta, ukabadairi gia eti ilikuwa post namba 2, kweli una uhakika?
Nina uwezo wa kuhamisha post kutoka 2 mpaka 23?
Post namba 2 mbona bado ipo na sijaiedit chochote?
Kadhalika 23 uliyodai nimeifuta bado ipo pia.
Wewe mkuu kubali una mahaba na uislamu, maana kazi yako imebaki kurukaruka hujui unataka nini kwenye uzi huu.
TATIZO NI UCHU WA MADARAKA.Habari zenu wakuu, rafiki yangu wa mafia ananiambia hivi.
Mimi nimezaliwa na kukulia kisiwani mafia, shuleni kwetu tangia naanza darasa la awali mpaka namaliza darasa la saba, hapakuwahi kuwa na mwanafunzi mkristo, sote tuliwa wa imani ya uislamu. Aliwahi kuja mwalimu mmoja wa imani ya ukristo lakini hakukaa sana akaondoka.
Kwa ufupi sisi tangu utotoni katika ukuaji wetu tulifundishwa kwa msisitizo sana kuwa mtu ambaye si wa imani yetu, huyo mtu haifai hata kumsogelea kwa namna yoyote ile, mtu ambaye si muislamu ni sawa au ni zaidi ya nguruwe au mbwa. Mara kadhaa walipokuja watalii wa kizungu, hao ndiyo tuliaminishwa kabisa ni watu wanaopigana na Mungu anayetupatia uwezo wa kuishi. Alipopita mzungu tulikuwa tukitema mate kwa nyuma kuashiria ni kitu ambacho hata kukiona ni dhambi.
Mimi nilipomaliza darasa la saba nilitafutiwa uhamisho na nikahamia Vikindu, na hapo nilianza kidato cha kwanza. Kwakweli niliteseka sana siku za mwanzo pale shuleni, maana nyumbani Mafia nilifundishwa kuwa mtu asiye wa imani yangu ni haramu na haitakiwi hata nimsogelee.
Darasani nilipangwa dawati moja na mkristo, aliyeitwa Yohana Frank, kwakweli nilikaa naye kwa taabu sana nikiamini kukaa dawati moja na yeye natenda madhambi na nitaikosa pepo. Baada ya kuzoea mazingira ya shuleni nilipata rafiki wa imani yangu aliyeitwa Omari.
Cha kusikitisha huyo Omari alikuwa na marafiki wa imani ya kikristo, na walikuwa wakigawana vyakula pale shuleni. Mimi kwa mazingira niliyokulia na mafundisho niliyofundishwa tangu utotoni nilikuwa na wakati mgumu sana pale shuleni. Watu nilioaminishwa ni haramu na haitakiwi hata kuwasogelea, iweje leo nikae nao meza moja na kula pamoja nao?
Kwakweli nilikuwa nikijiuliza maswali mengi sana, na nikaanza kuyafikiria upya mafundisho yote niliyofundishwa tangu utotoni ikiwa yana mantiki au la! Nilianza kuifikiria imani yangu yote kwa ujumla. Mpaka leo nimeanza kufikiria kama kweli Mungu yupo? Huyu Mungu niliyefundishwa tangu utotoni yupo? na vipi kuhusu hawa miungu wa imani nyingine tofauti na imani yangu?
Hivi dini inayotengeneza magaidi na wauwaji wa wengine kwa jina la dini ni wepi?nimekulia katika uislamu tangu mdogo mpaka namaliza form four sijawai kufundishwa kumchukia mkristo unaoandikaahapo ni uongo mtupu kuna haki za jirani ambay sio muislamu acha kupotosha uma sio uislamu huo
unaleta chuki na fitina
ajenda yako kutaka kueneza chuki kama huamini mungu ni wewe acha ushamba
Uongo mtupu? Wapi umeona fundisho et mtu akikaa na waislamu watakuwa na majini? Ukristo ni upendo,Na Yesu hakuja kwa ajili ya wakristo,injili ni kwa watu wote. Biblia haijamtenga muislamu achilia mbali kumtaja..Mafundisho yote ya ukristo toka sunday school mpaka kipaimara hamna mtoto anayefundishwa kumchukia muislam.TUNAWAPENDA na si hata unafki.Ungekuwa unaijua Mafia, ungempuuza...
Lakini kwavile umeamua kumwamini, sasa unaichukuliaje hiyo dini nyingine inayofundisha watoto kwamba wakikaa na Waislamu wanapata majini?!
Ina maana wewe maishani mwako hujawahi kukaa na Waislamu?
Na kama umewahi kukaa, ulishapata hayo majini?
Na kama hujapata, ina maana hiyo dini inasema uongo?
Na kama inasema uongo, ni dini ya namna gani hiyo?! Dini ya ukweli inaweza kufundisha uongo?!
Au tuseme katika maisha yako hujawahi kukaa na Mwislamu?! Inawezekana hivyo? Au ukigundua tu kwamba Mwislamu unamkimbia kwavile ulifundishwa (according to mtoa mada ambae umeamua kumwamini) ukikaa na Mwislamu utapata majini?!
Kama ndivyo, ni dini ya namna gani hiyo inayokufundisha kukaa na watu wa imani yako pekee?!
Amekeleta alichosimuliwa, muelewe hivyounaleta chuki na fitina
Fuatilia posts zangu za mwisho, utanielewa!!Uongo mtupu? Wapi umeona fundisho et mtu akikaa na waislamu watakuwa na majini? Ukristo ni upendo,Na Yesu hakuja kwa ajili ya wakristo,injili ni kwa watu wote. Biblia haijamtenga muislamu achilia mbali kumtaja..Mafundisho yote ya ukristo toka sunday school mpaka kipaimara hamna mtoto anayefundishwa kumchukia muislam.TUNAWAPENDA na si hata unafki.
Wacha wee...Ndivyo ilivyo, waislamu hufundishwa chuki tangu utotoni, wa Kristo hufundishwa upendo tangu utotoni, nadhani utaona hapo dini ya shetani ni ipi. Kama Mungu wa kweli ana nyesha mvua kwa majambazi na wachawi ambao ni waovu iweje binaadamu aliowaumba awaambie dini fulani ni mashetani? Anayeweza fanya hivyo ni yeye shetani tu ktk kujihami.
Kwa kuongezea tu amekulia mtaani almaarufu km chokoraabaada ya kumchunguza mtoa maada nimeona kuwa
YEYE SIO MUISLAM NA HAKUWAHI KUWA MUISLAM HATA SEKUNDE MOJA,
WALA SIO MKRISTO.
NI KAFIRI LILILOAMUA KUCHAFUA MAZINGIRA YA WATU, ILI WATU WAPIGISHANE MAKELELE.
VIZURI KULIPUUZA KAFIRI HILI LISILOKUWA NA NINI YOYOTE.
JAAHILI
Ebwana mkuu na mimi na pigilia msumari wa moto kwa mtoa mada na hao wafuasi wake kwanza nimetoka mafia last month , na Kama ndugu alivyo sema kanisa lipo takribani mitachache maana si dhani kama imefika hata nusu kilometa kutoka bandarini, tena lipo karibu na ofisi za serikali mkabala kabisa na ofisi ya watu wa makazi na ardhi na pana pigwa kwaya mwanzo mwisho , nimeshuhudia kabisa tena tupo na wenzangu , tulikuwa tupo wa 5 , mmoja ni mkristo tena ndio team leader wetu, eneo la kazi tulianzia UTENDE na hapa tulikuta familia ya wamakonde wa kristo tena sebuleni kwao kuna MSALABA mdogo wa mbao pia tuliiona shughuli za kuwatoa wali wa kimakonde na kike na kiume tena iliwekwa ngoma hapo hatari plus na mziki juu , na hapo ukumbuke hzo sharma sharma zao walikuwa wanatembea kundi wakipiga mabati mitaani, kingine sijui kama sehemu wanayo kunywa pombe ya mnazi kama mafia yaani kulewa ni fasta , ukiwa na 500 ushalewa kitambo sna, wana chukua kikopo cha mo energy au azam wana kata nusu ndio kipimo , kuna vilabu vya pombe na mademu hatari, ukienda mafia kama utakuwa na mweyeji lazima aku ase juu ya ukimwi na taadhari ,Uongo mtupu
Airport na Bandari vyote vipo mjini, kwahiyo uwe umeingia kwa boti au kwa ndege, kama safari yako inaishi mjini basi unatembea tu unless uwe unaenda vitongoji vilivyo nje kidogo!!
Huyo mleta mada ama nae ni MUONGO au ni mtu kutoka vijijini, na wala asiseme "kwetu Mafia tunafundishwa...." bali aseme "kwenye familia yao wanafundishwa..."
Sijaenda Mafia muda mrefu sana lakini hapa nitaizungumzia Mafia ya wakati huo ambayo pengine ndiyo tungesema ni hatari zaidi kwa watu wa dini zingine!
Ilikuwa ukiteremka airport na kutembea umbali mfupi, unakutana unakutana na NMB. Kutoka NMB, hatua chache mbele unakuta mkungu na chini yake kuna uwanja! Kusini Mashariki ya Uwanja kuna kanisa, nadhani la KKKT! Kanisa hili limezungukwa na makazi ya Waislamu na watu wanafanya ibada kama kawaida!
Kwenye Uwanja twaja, watu wanatumia sana kufanya mahubiri. Home kwetu ni town kabisa kiasi kwamba nikisimama karibu na dirisha naona kila kinachooendelea hapo uwanjani! Uwanja ule ni kawaida sana tena sana kukuta Wahubiri wa Kikristo wakitoa mahubiri yao na wengi wanatoka bara!
Kuna wakati walikuja Wahubiri wa Kikristo ambao lau kama pale ingekuwa ni Dar es salaam, wallah kingenuka kwa sababu yale hayakuwa mahubiri bali kashfa za Uislamu! Lakini walikaa Mafia wiki mzima na wakaondoka bila bughudha yoyote!
And what's even more interesting, ukiwa hapo uwanjani unawasikia watoto wa madrasa wakisoma kwa sababu Madrasa ipo hapo ukishamaliza tu uwanja!!! Huu uwanja nao, umezungukwa na makazi ya Waislamu!!
Sina uhakika kama hadi sasa yupo lakini wakati ule, ilikuwa ukipita tu ile madrasa, mbele kidogo unakutana na baa ya dada mmoja alikuwa anaitwa Hellen Lyimo!! Yaani umbali mfupi kutoka ilipo madrasa unakutana na baa ambayo mmiliki wake ni Mkristo!!
Hiyo ndo Mafia mnayodanganyana kinyume chake!! Uongo ambao kwa kawaida unaenezwa na watu wenye chuki tu za kidini!!!
Uongo mtupu

Wajinga Sana wale wana lazimisha ufunge ramadhaniNilienda pemba siku tano zilikuwa kama mwaka
Kule sio pa kuishi
Sivyo ilivyo ukweli ni kwamba hayo ni mafundisho wanapewa ama kufundishwa ukimsalimia muislam ukimpa mkono anakuachia mapepo kumiUngekuwa unaijua Mafia, ungempuuza...
Lakini kwavile umeamua kumwamini, sasa unaichukuliaje hiyo dini nyingine inayofundisha watoto kwamba wakikaa na Waislamu wanapata majini?!
Ina maana wewe maishani mwako hujawahi kukaa na Waislamu?
Na kama umewahi kukaa, ulishapata hayo majini?
Na kama hujapata, ina maana hiyo dini inasema uongo?
Na kama inasema uongo, ni dini ya namna gani hiyo?! Dini ya ukweli inaweza kufundisha uongo?!
Au tuseme katika maisha yako hujawahi kukaa na Mwislamu?! Inawezekana hivyo? Au ukigundua tu kwamba Mwislamu unamkimbia kwavile ulifundishwa (according to mtoa mada ambae umeamua kumwamini) ukikaa na Mwislamu utapata majini?!
Kama ndivyo, ni dini ya namna gani hiyo inayokufundisha kukaa na watu wa imani yako pekee?!
Wale mapadri waliouawa zenji kwa risasi na kumwagiwa tindikali ndio wema wenu huo..vipi hao wakristo wanaonyimwa kumiliki kioande cha ardhi huko zenji ndio wema wenu huo mnao utangaza.?Huu ni uongo wa kiwango cha juu, Uislam hausemi hivyo tena inasisitiza muwatendee wema watu wa dini nyingine Muongo Muongo Muongoooo.