Umemjibu kwa ujumla sana mkuu. anaweza akatatizika sana kama si muislam ni vyema ungemuelekeza uharamu wa qaswida unakuja vipi na wapi inakuwa halali.
Asante sana kwa ufafanuziMkuu ulivyosema "asihusishe mzik huu adhimu wa taarabu na kustaafu kwake" ndio na mie nkasema kwa imani yake mziki ni HARAMU haijalishi uwe una maudhui gani hata kama angekua anaimba kuhusu sijui vitu gani vuzuri ila inabaki pale pale kuwa mziki ni HARAMU, hicho ndio mie nilichokipinga kwenye hilo Bandiko lako.(no hard feelings). Ila dini imeruhusu mashairi ila sio kwa kutumia vyombo vya muzik labda cha kumshauri mzee yusuph aanze kuimba nasheed.
Ili awe maskini apite akiomba omba ndio atakuwa amesamehewa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee naye Ni msanii kama walivyo wasanii..Ivi inawezekana vipi uliee namna hiyoo uwaambie Na Wateja wako wazitupilie mbali nyimbo zako..huku nyuma mkeo anazindua Albamu ya Kaninganganiaa..Ama kweli Tz wajingaa ndio waliwaooo
Hahahahaaaaaa.......Mungu wangu unyama ulioje huo kuacha tunda zuri kama lile lilale peke yake 6×6?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] pengine ndio utaratibu lakini yataka moyo tena moyo hasa kuliko hata ule uamuzi wa kuacha kuimba[emoji39] [emoji39] [emoji15] [emoji2]
Yes kaka,nafikir kwa kipaji alichonacho Mzee,lazima atashauriwa kufanya Nasheed na atakuwa maarufu sana ktk Nasheed km akina Ust Yusuf Abdi na wengineMkuu ulivyosema "asihusishe mzik huu adhimu wa taarabu na kustaafu kwake" ndio na mie nkasema kwa imani yake mziki ni HARAMU haijalishi uwe una maudhui gani hata kama angekua anaimba kuhusu sijui vitu gani vuzuri ila inabaki pale pale kuwa mziki ni HARAMU, hicho ndio mie nilichokipinga kwenye hilo Bandiko lako.(no hard feelings). Ila dini imeruhusu mashairi ila sio kwa kutumia vyombo vya muzik labda cha kumshauri mzee yusuph aanze kuimba nasheed.
basi nikwambie tu kua katika uislam mziki wowote ni kharam sio kwamba sijui taarab zamani sijui bongo freva sijui kaswida hazi pigwi msikitini wala kwenye QURAN hapana penye mtume ameimba au yesu ameimba
hatuwezi kuyasemea maana ni ya mke wake, jamii inachoweza kufanya ni kumkumbusha kuwa yeye ni mchunga kwa mkewe ivo yeye kama ameamua kung'atuka kwa kuona ubaya wa muziki amfikishie pia mkewe aache. Lkn hatuwezi kuhukumu kwaujumla wa maamzi yake na tukaita usanii au tukalinganisha na hali ya mkewe kwa sasa, yeye kaamua ivo na suala la mkewe ni jambo la pili.Mzee naye Ni msanii kama walivyo wasanii..Ivi inawezekana vipi uliee namna hiyoo uwaambie Na Wateja wako wazitupilie mbali nyimbo zako..huku nyuma mkeo anazindua Albamu ya Kaninganganiaa..Ama kweli Tz wajingaa ndio waliwaooo
Unaijua BY THE RIVERS OF BABYLON? Kasome Zaburi 137
Kifupi iliimbwa na Bob Marley na BoneyM
Lini nilishawahi kukufurahisha?We mshana kuna unalotafuta sio bure,mtu kaacha kufanya mavitu ha haramu bado unakuja kunyakunya eti sikubaliani nae who are you?yeye kamrudia mola wake wewe unawashwa nini sasa?we ni mtu mzima jaribu kuwaza kiutuuzima,leo umeniudhi sana
mkuu mimi muislam ziwezi kutoa ushaid kupitia biblia [siwezi kukuambia kwanini tutatoka nje ya mada]
ila kwa ufupi ndo huo
video yako sijaiona natumia through freebasics
issa bin maryamBasi usingemtaja Yesu labda undeaema Issa ningekuelewa
We mshana kuna unalotafuta sio bure,mtu kaacha kufanya mavitu ha haramu bado unakuja kunyakunya eti sikubaliani nae who are you?yeye kamrudia mola wake wewe unawashwa nini sasa?we ni mtu mzima jaribu kuwaza kiutuuzima,leo umeniudhi sana
issa bin maryam
yesu mwana mariam
are the same name
TOFAUTI NI KWAMBA WAISLAM WANAMUITA NABII WAKRISTO WANAMWITA MUNGU
HAKUNA TOFAUTI NYINGINE NA MTU NI MMOJA
hujaelewa wapiHivi unafuatilia kweli mtiririko wa hoja zako humu?