Kisa cha madenge

Kisa cha madenge

Joined
Jun 6, 2012
Posts
40
Reaction score
9
Hatimae madenge anarud nyumban baada ya kumalza mthan ;
BABA: mwanangu kweli utafaulu?
MADENGE; ntafaulu baba ntapata mia ya mia.
BABA; Kwnn?
MADENGE; wakati naenda shule nlkuta bango lmeandkwa yesu ni jibu, hvyo majbu yote nkajaza YESU!.
 
Kabisaaa kapatia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom