KISA CHA KWELI, USHAURI WENU

Mwanaume ana kosa gani hapo. Na je mwanamke kosa lake lipi, ikiwa anasema alimvumilia Sana jamaa kimwili ndio ikatokea hivyo
Uvumilivu hauvunjwi na ikitokea mwanamke kapata tatizo lolote la kiafya nadhan mshikaji atathibitisha ule msemo "what come around goes around"
 
Reactions: SDG
[QUOTunatambulika sti, post: 24998605, member: 20070"]Dini inahusikaje kwenye uchumba, manake uchumba ni uzinzi tu. Hakuna kesi, wakae waamue kila mmoja anataka nini wafuate nyoyo zao. Mapenzi hayapigwi ripu wala plasta, skimming haitasaidia[/QUOTE]
Dini inatambua uchumba, je wakaeje? Warudiane ama, na je mwanamke anawezaje kumuacha aliye naye
 
TzComeJirani st: 24998617 said:
Kisa cha jirani yako ushauri upewe wewe!!?, maajabu ya Mussa haya walahi, khaah...!!
Uwe unaelewa, jirani ni neno Tu. Ni ndugu yangu
 
Mgonjwa kapona,kalipa kisasi?
Hakuna kisasi hapo mgonjwa amedhamiria kufanya waliyofanya.
Warudiane kwa grounds zipi?Mchumba amepata mtu mwingine aendelee nae na jamaa aendelee na maisha yake
 
Mgonjwa kapona,kalipa kisasi?
Hakuna kisasi hapo mgonjwa amedhamiria kufanya waliyofanya.
Warudiane kwa grounds zipi?Mchumba amepata mtu mwingine aendelee nae na jamaa aendelee na maisha yake
Je wakae vikao kuvunja uchumba,au kila mtu apotee kivyake. Je inaleta maana kidini.
 
Uchumba sio ndoa bhana na demu kazingua mapema tena wakati wa matatizo,hapana ndoa hapo
 
Sema tu ni wewe ndio uliekuwa unaumwa,na sasa umepona ukatembea na marafiki zake na hapa unataka tukushauri urudiane nae
 
Uchumba sio ndoa.Ndoa ndiyo inaanishwa kidini.Labda itokee kama kwa Yusufu na mchumba wake bikira Maria,ambapo ilibidi Mungu kwa Roho mtakatifu aingilie kati kuuendeleza huo uchumba kwa kusudi lake Mungu.
 
Uchumba sio ndoa.Ndoa ndiyo inaanishwa kidini.Labda itokee kama kwa Yusufu na mchumba wake bikira Maria,ambapo ilibidi Mungu kwa Roho mtakatifu aingilie kati kuuendeleza huo uchumba kwa kusudi lake Mungu.
Je wamalizane vp, mahusiano ya kifamilia pia yafe au inakuwaje
 
Hapana sio mimi, ni ndugu yangu
Wengi humu wanakuja kwa gia...oooh rafiki yangu ooh jamaa yangu ooh sijui nani yangu ila kiuhalisia ni wao wenyewe ndo wahusika'
 
Pole japo kuwa hukutaka kujisema kuwa ni Wewe.
Kipindi cha uchumba ni muda sahihi wa kusomana na kupimana vigezo.

Hapo ndo muda kuyajua mapungufu na mazuri ya mwenza wako mtarajiwa na kuamua kama unaweza kuvumilia hayo.

Ni muda muafaka sana kuachana endapo roho zenu hazikuridhika na mwenzake.

Kuachwa ktk uchumba hakuna lawama na wala dini haihusiki hapo maana hamjapelekana kwenye dini bado hapo.
 
Je familia zikae kuvunja uchumba, na je wasipovunja kila MTU akashika hamsini zake, kidini italeta maana
Mkuu nijuavyo mimi, dini haitambui mahusiano ya uchumba bali mpaka wawili hawa wangekula kiapo cha uaminifu na utii wa ndoa mbele ya padre/mchungaji ama shekh.

Hapo kilichopo ni jamaa kwenda ku claim mahari yake au apotezee.

Halafu huyo mwanamke ni nyoka hafai tena kuwa nae na kinachomtesa ni grief kuona ya kuwa marafiki zake wametafunwa na jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…