Kisa cha kweli. Mashemeji wengine nuksi tupu

Kisa cha kweli. Mashemeji wengine nuksi tupu

acha kilevi rudi kwa mkeo anza maisha mapya.....ukiendelea utaliwa min kabang
 
atakachoshangaa! imekuwaje ktk hy promise fake umeupiga mpira kiufundi kuliko kawaida! zaidi ya nyumbani
 
hivi story zenu za kutunga zinapoa kweli. sijui hata mnazicopy wapi maana hata jinsi muonekano wake ulivyo inaonyesha kabisa imecopiwa mahali haijaandikwa hapa
 
nampa hongera shem huyo, ni mfano wa kuigwa.
Mashemeji tuige mfano huu. Nadhan hautarudia tena mkuu
 
...Uongo mtupu...hivi kwa nini kasi ya uongo na fiksi unaongezeka bongo? tunaongopa kwa vitu vya kitoto sana!!
 
Matthew 5:27-28 Ye have heard that it was said to them of old time, Thou shalt not commit adultery: But I say to you, That whoever looketh on a woman to lust after her, hath committed adultery with her already in his heart.


Amri za Mungu ziko kumi tu..
na mojawapo ni.neno moja tu..."USIZINI" Hizo fafanuzi za amri hii ni michepuko ya amri kufanya maisha yawe magumu na kubana mwanya wa kufika kwa Mungu mwenye amri yake.

eti ukimuangalia na kumtamani umezini.. kuzini siyo kuangalia na pia tamaa ni tofauti na zinaa

Acheni kuchakachua amri hizi kwa mitazamo ya akina mathayo.

Uzuri kutii amri haitufikishi Kwa Mungu bali ni Kumwamini yeye.
 
Story nyigine haziwezi kutokea hata kwenye maigizo.....
 
Baada ya mke wangu
kunitambulisha yule shemeji
hisia za mapenzi zikaanza
kunishika kwa kasi ya ajabu.
Nikajiapiza lazima nihakikishe
nampata kwa gharama yoyote
ile.
Shem wangu yule kiukweli
kaumbika maana guu guu hips
hizoo na kwa upande wa
ucheshi wake mimi sisemi kitu.
Basi nikaidaka namba yake na
kuanza kumpa manjonjo na
baada ya muda mtoto akatia
timu na kuendana na matakwa
yangu yaaani kwa kifupi
akasalimu amri.
Akaniahidi tukutane hotel ili
anipe furaha nami sikuwa na la
ziada zaidi ya kumpa fedha ili
siku ikifika nimkute kunako
chumbani.
Siku ikafika mtoto akaniambia
yuko kunako hoteli na mie
nikaenda na kabla ya kuingia
hotel nikaona bora nipige viloba
kwanza vinitoe nishai na kunipa
maujasiri.
Nikavipiga weeee kisha nikaanza
kuona naishiwa nguvu
nikamwomba twende tukajilie
vyetu.
Akanichukua na kunilaza
kitandani na akaniambia
anaenda kununua maji hoteln
na kwa kuwa nilishajichokea na
mikonyagi nikalala na
nakumbuka usiku nikaamka
kumpa gemu moja tafu sana na
akanisifia na tukaendelea kulala.
Asubuhi naamka niwashe taa na
kwenda chooni nilishangaa
kuona kumbe pale hotelini
nililala na mke wangu.
Mke akashtuka na kusema
mbona umeduwaa nikakaa
kimya kwani nilimdanganya
naenda morogoro kikazi kwa
siku moja ana nikaanza kuhisi
kuwa kuna ka mchezo pale.
Nimechanganyikiwa na sina cha
kusema maana naona wamenipa
wakati mgumu kwa kunitegea
mtego huu.
Sijui nifanyeje nimedata..i hate
mashemu wote.
jichukie mwenyewe nyambafuu michepuko tu.
 
Natumaini umejifunza kutokana na hadithi yako


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata vihadithi vya sungura na fisi vilikuwa na mafundisho yake. Hahaha eti akampiga gemu moja matata mpk demu akamsifia.... kumbe anayemsifia ni mkewe!!!! Sijui hivyo viroba alivyopiga kwa uamuzi wake mpk network ikapotea, akili ilitoka kwa huyo shem wake?
 
Story nyigine haziwezi kutokea hata kwenye maigizo.....

Mzee mwenzangu, siku hizi hata hadithi za kutunga za kuleta japo nusu ya uhalisia zinawashinda vijana wetu. Kinachosikitisha, hata wengi wanaochangia wameshindwa kubainí hii ni sawa na zile hadithi zetu za utotoni za "sungura akasema...."
 
Back
Top Bottom