Kisa cha kweli. Mashemeji wengine nuksi tupu

Kisa cha kweli. Mashemeji wengine nuksi tupu

jaffari odhiambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
526
Reaction score
13
Baada ya mke wangukunitambulisha yule shemejihisia za mapenzi zikaanzakunishika kwa kasi ya ajabu.

Nikajiapiza lazima nihakikishenampata kwa gharama yoyoteile.

Shem wangu yule kiukwelikaumbika maana guu guu hipshizoo na kwa upande waucheshi wake mimi sisemi kitu.

Basi nikaidaka namba yake nakuanza kumpa manjonjo nabaada ya muda mtoto akatiatimu na kuendana na matakwayangu yaaani kwa kifupiakasalimu amri.Akaniahidi tukutane hotel ilianipe furaha nami sikuwa na laziada zaidi ya kumpa fedha ilisiku ikifika nimkute kunakochumbani.

Siku ikafika mtoto akaniambiayuko kunako hoteli na mienikaenda na kabla ya kuingiahotel nikaona bora nipige vilobakwanza vinitoe nishai na kunipamaujasiri.

Nikavipiga weeee kisha nikaanzakuona naishiwa nguvunikamwomba twende tukajilievyetu.

Akanichukua na kunilazakitandani na akaniambiaanaenda kununua maji hotelnna kwa kuwa nilishajichokea namikonyagi nikalala nanakumbuka usiku nikaamkakumpa gemu moja tafu sana naakanisifia na tukaendelea kulala.

Asubuhi naamka niwashe taa nakwenda chooni nilishangaakuona kumbe pale hotelininililala na mke wangu.

Mke akashtuka na kusemambona umeduwaa nikakaakimya kwani nilimdanganyanaenda morogoro kikazi kwasiku moja ana nikaanza kuhisikuwa kuna ka mchezo pale.

Nimechanganyikiwa na sina chakusema maana naona wamenipawakati mgumu kwa kunitegeamtego huu.Sijui nifanyeje nimedata..i hatemashemu wote.
 
Natumaini umejifunza kutokana na hadithi yako


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Baada ya mke wangu
kunitambulisha yule shemeji
hisia za mapenzi zikaanza
kunishika kwa kasi ya ajabu.
Nikajiapiza lazima nihakikishe
nampata kwa gharama yoyote
ile.
Shem wangu yule kiukweli
kaumbika maana guu guu hips
hizoo na kwa upande wa
ucheshi wake mimi sisemi kitu.
Basi nikaidaka namba yake na
kuanza kumpa manjonjo na
baada ya muda mtoto akatia
timu na kuendana na matakwa
yangu yaaani kwa kifupi
akasalimu amri.
Akaniahidi tukutane hotel ili
anipe furaha nami sikuwa na la
ziada zaidi ya kumpa fedha ili
siku ikifika nimkute kunako
chumbani.
Siku ikafika mtoto akaniambia
yuko kunako hoteli na mie
nikaenda na kabla ya kuingia
hotel nikaona bora nipige viloba
kwanza vinitoe nishai na kunipa
maujasiri.
Nikavipiga weeee kisha nikaanza
kuona naishiwa nguvu
nikamwomba twende tukajilie
vyetu.
Akanichukua na kunilaza
kitandani na akaniambia
anaenda kununua maji hoteln
na kwa kuwa nilishajichokea na
mikonyagi nikalala na
nakumbuka usiku nikaamka
kumpa gemu moja tafu sana na
akanisifia na tukaendelea kulala.
Asubuhi naamka niwashe taa na
kwenda chooni nilishangaa
kuona kumbe pale hotelini
nililala na mke wangu.
Mke akashtuka na kusema
mbona umeduwaa nikakaa
kimya kwani nilimdanganya
naenda morogoro kikazi kwa
siku moja ana nikaanza kuhisi
kuwa kuna ka mchezo pale.
Nimechanganyikiwa na sina cha
kusema maana naona wamenipa
wakati mgumu kwa kunitegea
mtego huu.
Sijui nifanyeje nimedata..i hate
mashemu wote.

Mastory ya uongo, ndiyo JF, ukweli njoo, uongo njoo, utamu korea!
 
Matthew 5:27-28 Ye have heard that it was said to them of old time, Thou shalt not commit adultery: But I say to you, That whoever looketh on a woman to lust after her, hath committed adultery with her already in his heart.
 
Ulidhani ni shamba la mchicha waweza kuchuma popote. Wenzio wana heshima zao baba. Huyo shem ningeenda kumnunulia gonga snake manake kakuokoa mahali pabaya.
 
Yani huyo mwanamke bado amekubali kuendelea na hyo ndoa after what u wanted to do? Wow
 
Baada ya mke wangu
kunitambulisha yule shemeji
hisia za mapenzi zikaanza
kunishika kwa kasi ya ajabu.
Nikajiapiza lazima nihakikishe
nampata kwa gharama yoyote
ile.
Shem wangu yule kiukweli
kaumbika maana guu guu hips
hizoo na kwa upande wa
ucheshi wake mimi sisemi kitu.
Basi nikaidaka namba yake na
kuanza kumpa manjonjo na
baada ya muda mtoto akatia
timu na kuendana na matakwa
yangu yaaani kwa kifupi
akasalimu amri.
Akaniahidi tukutane hotel ili
anipe furaha nami sikuwa na la
ziada zaidi ya kumpa fedha ili
siku ikifika nimkute kunako
chumbani.
Siku ikafika mtoto akaniambia
yuko kunako hoteli na mie
nikaenda na kabla ya kuingia
hotel nikaona bora nipige viloba
kwanza vinitoe nishai na kunipa
maujasiri.
Nikavipiga weeee kisha nikaanza
kuona naishiwa nguvu
nikamwomba twende tukajilie
vyetu.
Akanichukua na kunilaza
kitandani na akaniambia
anaenda kununua maji hoteln
na kwa kuwa nilishajichokea na
mikonyagi nikalala na
nakumbuka usiku nikaamka
kumpa gemu moja tafu sana na
akanisifia na tukaendelea kulala.
Asubuhi naamka niwashe taa na
kwenda chooni nilishangaa
kuona kumbe pale hotelini
nililala na mke wangu.
Mke akashtuka na kusema
mbona umeduwaa nikakaa
kimya kwani nilimdanganya
naenda morogoro kikazi kwa
siku moja ana nikaanza kuhisi
kuwa kuna ka mchezo pale.
Nimechanganyikiwa na sina cha
kusema maana naona wamenipa
wakati mgumu kwa kunitegea
mtego huu.
Sijui nifanyeje nimedata..i hate
mashemu wote.

Too finctional
 
Yaani unakula papachu ulozoea kwenye kiza bila hata kuishitukia? Kweli we mbulula au ulikuwa umelewa sana,una unahakika gani baada ya kukata network kwa hiyo mokojagi yako huyo shem wako haja tuleta sisi tukakukula kabang? Je ulikagua hilo tundu lako asubuhi kweli?
 
Jitafakari upya na tamaa.haingii akilin kunywa na kujisahau kiasi hicho.Kuna siku utachepuka kwa mke wa mtu na akakubadilishia mumewe na ufirahuni huu ulivyozidi lazima watanue marinda
 
Back
Top Bottom