Hivyo vyeti kwani anavihitaji vya nini huyo mwenzako!si mmeshaambiwa ajira hakuna!!?jiajirini halafu hivyo vyeti mviweke kama vilivyo kwa ajili ya kuwaonyesha wateja wenu kuwa mnataaluma.
Hii comment imenifurahisha mnooooo
Hivyo vyeti kwani anavihitaji vya nini huyo mwenzako!si mmeshaambiwa ajira hakuna!!?jiajirini halafu hivyo vyeti mviweke kama vilivyo kwa ajili ya kuwaonyesha wateja wenu kuwa mnataaluma.
Duh! Mtu tangu anashika vyeti vyangu mpaka anaaanza na kumalizia kuvuchana bado namtazama tu...
Hakuna msaada Wa hivyo mtu huanza kujitetea yeye kwanza kisha msaada unafuata,huwezi kua zoba kiasi hicho!