Kisa cha Kaisari na mke wake kitumike

Kyusi

Senior Member
Apr 28, 2013
130
81
Wandugu
Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu ,
lakini mtakumbuka mke wa kaisari alipotuhumiwa ugoni, Kaisari aliagiza uchunguzi ufanyike. uchunguzi ukafanyika na ikabainika si kweli . Lakini
Kaisari bado alimwacha kwasababu mke wa Kaisair hapaswi hata kutuhumiwa.
Na sisi hapa hatushinikizi RC aachie ngazi Bali atoe utetezi wa tuhuma zinazomkabili
 
fart_story_650_121414044341.jpg
 
Back
Top Bottom