Kisa cha chizi

Kisa cha chizi

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,172
Kichaa mmoja alipanda juu ya mti wa maembe,akiwa juu mara akajiachia na kudondoka chini,jamaa mmoja aliyemwona akamfata na kumuuliza kulikoni?
Chizi akajibu; nahisi nimeiva,niokote kwa matumizi. Teh teh teh!
 
huyu alikuwa na akili mpaka zimepitiliza....
 
Back
Top Bottom