Dah....kila nikiupitia huu uzi naelewa tofauti....umeandikwa kwa kificho sana.....nimeupitia mara 20....ngoja niuache sasa...maana naelekea kuitwa mchochezi 🙂🙂🙂Asha alizaliwa katika kijiji kilicho kando ya bahari. Shughuli kuu katika kijiji kile ilikuwa uvuvi na Kilimo.
Asha alipenda sana kula samaki lakini aliona aibu kulisema hilo na badala yake alisema hapendi kula samaki.
Wazazi wake walihangaika kutafuta mboga mbadala kwaajili ya mtoto wao kila walipopika samaki.
Siku moja watu wote wakiwa shambani Asha alirudi nyumbani kwa siri ili akale samaki aliyebaki kwenye maakuli ya jana yake. Kwa hamu kubwa aliyokuwa nayo Asha alikula samaki kwa pupa na hii ilipelekea kukabwa na mwiba wa samaki.
Asha alikuwa kwenye maumivu makali wazazi wake waliporejea na ilibidi apelekwe hospitali.
Wazazi walibaki nashangao tabibu alipotoa mwiba wa samaki kwenye koo la Asha.
Njia ya mwongo ni fupi.
naomba ntumie soft copyHadith Inanikumbusha Vutabu Nnavyovipenda Vya Alf Laylah Wa Laylah,"One thousand And One Days"
Ndo Kwanza Niko Volume ya 1 Bad Nyingine 5. Hakika Kisa Hiki Kinaendana Kabisa Na Visa Vya Kina Khalifa Haroun Al Raschid
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Email?!naomba ntumie soft copy
kwani hapa huez kuattach?Email?!
Viko Kwenye PC Na Sipo Nayo. Haya Nitafanya Utakavyo Ila Sio Sasa...kwani hapa huez kuattach?
thank uViko Kwenye PC Na Sipo Nayo. Haya Nitafanya Utakavyo Ila Sio Sasa...
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Tafadhar uvipost hapa jamvini. Ikishindikana Mimi email yangu ni Mfumbulwaone@gmail.comViko Kwenye PC Na Sipo Nayo. Haya Nitafanya Utakavyo Ila Sio Sasa...
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kwa Nionavyo Imeshindikana Kwa Muda Huu. Nitakurekebishia Usijali.Tafadhar uvipost hapa jamvini. Ikishindikana Mimi email yangu ni Mfumbulwaone@gmail.com
Ndg yang umenkumbusha mbali Sana nilikua na rundo la vitabu hivo nkamuazima jamaa ckumuona tena.Roho yauma naeza pata wapiHadith Inanikumbusha Vutabu Nnavyovipenda Vya Alf Laylah Wa Laylah,"One thousand And One Days"
Ndo Kwanza Niko Volume ya 1 Bad Nyingine 5. Hakika Kisa Hiki Kinaendana Kabisa Na Visa Vya Kina Khalifa Haroun Al Raschid
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Sawa nitashukuru sanaKwa Nionavyo Imeshindikana Kwa Muda Huu. Nitakurekebishia Usijali.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app