Kisa 2000 ya marejesho nusu nimchakate asububi hii

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Ni kama story lakini ukweli ni kwamba nimetoka kuisamehe kuichakata Asubuhi hii hii kisa 2k (elfu mbili ya marejesho).

Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi (anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko vyedi).

Amenigongea gheto sa hivi anaomba nimuazime elfu mbili aongezee rejesho,

Ana elfu 20 kapungukiwa elfu mbili tu,

Nimemtega kwamba sina kitu nimebaki na hela ya chai tu hiyo hiyo sina nyingine, akaniomba tena kwa kupiga magoti kabisa kwamba anaomba nimpatie atanirejeshea.

Tena kwa msisitizo akaongezea niko tayari kwa lolote pliz nakuomba.

Nikamcheki nikamwambia ingia ndani uje uchukue, hakusita dakika akazama ndani,

Nikamtazama kwa kweli anatia huruma, na mimi nilivyo vyatu nilikuwa tu na boxer wala sikujishughulisha kuvaa pensi,

Nikazama kwa pochi nikatoa elfu mbili kavu nikampatia, akapokea lakini bado akawa amestaki pale nikajua tu anataka kulipa fadhira.

Nilichofanya nikamslap ass tu nikamwambia nenda baadae kumbuka kunirejeshea,

Ndio kutoka na kwenda zake.

Kiukweli Nimemuacha kwa sababu tu nilikuwaga namuheshimu sana alafu pia Age yake na yangu hatuendani kabisa nimechoka kula hivi vijimama.

NB
Wakina dada/mama msilazimishe kuingia kwenye mikopo ikiwa hamna vyanzo vya mapato.

Hakika mtagongwa sana.

Cc Zero IQ
 
6.jpg
 
Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi ( anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko vyedi)...
Mkuu usidhani kaja kuomba elfu mbili ya marejesho.
Ipo hivi

Umetoa hela kwa mkono wako ndo chuma ulete ya kisasa hiyo.

Ukiona hela inaanza kuwa ngumu kwako ujue ndo imetoka hiyo......
 
Ni kama story lakini ukweli ni kwamba nimetoka kuisamehe kuichakata Asubuhi hii hii kisa 2k (elfu mbili ya marejesho).

Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi (anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko vyedi).

Amenigongea gheto sa hivi anaomba nimuazime elfu mbili aongezee rejesho,

Ana elfu 20 kapungukiwa elfu mbili tu,

Nimemtega kwamba sina kitu nimebaki na hela ya chai tu hiyo hiyo sina nyingine, akaniomba tena kwa kupiga magoti kabisa kwamba anaomba nimpatie atanirejeshea.

Tena kwa msisitizo akaongezea niko tayari kwa lolote pliz nakuomba.

Nikamcheki nikamwambia ingia ndani uje uchukue, hakusita dakika akazama ndani,

Nikamtazama kwa kweli anatia huruma, na mimi nilivyo vyatu nilikuwa tu na boxer wala sikujishughulisha kuvaa pensi,

Nikazama kwa pochi nikatoa elfu mbili kavu nikampatia, akapokea lakini bado akawa amestaki pale nikajua tu anataka kulipa fadhira.

Nilichofanya nikamslap ass tu nikamwambia nenda baadae kumbuka kunirejeshea,

Ndio kutoka na kwenda zake.

Kiukweli Nimemuacha kwa sababu tu nilikuwaga namuheshimu sana alafu pia Age yake na yangu hatuendani kabisa nimechoka kula hivi vijimama.

NB
Wakina dada/mama msilazimishe kuingia kwenye mikopo ikiwa hamna vyanzo vya mapato.

Hakika mtagongwa sana.

Cc Zero IQ

Inawezekana umeshindwa kumpa alichotaka

Kumchakata sio ujanja hata kidogo, inaweza kuwa mauti yako

Mshukuru Mungu wako
 
Back
Top Bottom