See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 630
- 1,815
Sure japo akili zao tuwaachie tu wenyewe hawa wa Ubavuni mwetu..Buku kwa K ni udhalilishaji, kutokujua na kudhamini K yake
Sure japo akili zao tuwaachie tu wenyewe hawa wa Ubavuni mwetu..Buku kwa K ni udhalilishaji, kutokujua na kudhamini K yake
Mkuu.,yaani kwa sasa maeneo kama Temeke,ni balaa kwa siku unaweza kutana na wasichana hata 3,wana kusalia wanakuomba 500!!kuja kudadisi ni michezo yao hiyo!!akipata wanne tayari 2000 ya mchezo kwa siku imetimia!!sasa wale wakwale ndipo hutumia nafasi hiyo!!Ni kama story lakini ukweli ni kwamba nimetoka kuisamehe kuichakata Asubuhi hii hii kisa 2k (elfu mbili ya marejesho).
Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi (anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko vyedi).
Amenigongea gheto sa hivi anaomba nimuazime elfu mbili aongezee rejesho,
Ana elfu 20 kapungukiwa elfu mbili tu,
Nimemtega kwamba sina kitu nimebaki na hela ya chai tu hiyo hiyo sina nyingine, akaniomba tena kwa kupiga magoti kabisa kwamba anaomba nimpatie atanirejeshea.
Tena kwa msisitizo akaongezea niko tayari kwa lolote pliz nakuomba.
Nikamcheki nikamwambia ingia ndani uje uchukue, hakusita dakika akazama ndani,
Nikamtazama kwa kweli anatia huruma, na mimi nilivyo vyatu nilikuwa tu na boxer wala sikujishughulisha kuvaa pensi,
Nikazama kwa pochi nikatoa elfu mbili kavu nikampatia, akapokea lakini bado akawa amestaki pale nikajua tu anataka kulipa fadhira.
Nilichofanya nikamslap ass tu nikamwambia nenda baadae kumbuka kunirejeshea,
Ndio kutoka na kwenda zake.
Kiukweli Nimemuacha kwa sababu tu nilikuwaga namuheshimu sana alafu pia Age yake na yangu hatuendani kabisa nimechoka kula hivi vijimama.
NB
Wakina dada/mama msilazimishe kuingia kwenye mikopo ikiwa hamna vyanzo vya mapato.
Hakika mtagongwa sana.
Cc Zero IQ
Hujanielewa Arifu..Nimeona huruma tu kweli 2k kwelii

Duh iyo Kali aisee kwaiyo inabid wawe wanakaa nje kuwaona wapita njia auMkuu.,yaani kwa sasa maeneo kama Temeke,ni balaa kwa siku unaweza kutana na wasichana hata 3,wana kusalia wanakuomba 500!!kuja kudadisi ni michezo yao hiyo!!akipata wanne tayari 2000 ya mchezo kwa siku imetimia!!sasa wale wakwale ndipo hutumia nafasi hiyo!!
Zingatia usafi MwambaWe acha mkuu sasa nipo najutia bora ningeitafuna kabisa
Ina maana mkuu hujawahi kula kimsihara hata bila 2k?Kiukweli kwa ile situation niliona aya, nilimtazama usoni, umri na vile nilivyokuwa namchukulia nikajisemea No,
2k tu isinivunjie heshima ila Ass lazima nislap kumkumbusha kuachana na mikopo isiyo na tija kwake.
Kwa maana ni 2K tu ilishaweka Rehani mbususu yake kwa Zero IQ,
Je kusingekuwa na mkopo ningeona kweli.
Watake care, Leo nimeamka na yesu siku ingine nitaupasua mchoro wake kisawa sawaa.
Hapana yaani unakutana na mdada mzuri tu barabarani,anakusalia ndio anakuomba,kaka/baba nisaidie 500!!nimepungukiwa!!Duh iyo Kali aisee kwaiyo inabid wawe wanakaa nje kuwaona wapita njia au
InasikitishaHapana yaani unakutana na mdada mzuri tu barabarani,anakusalia ndio anakuomba,kaka/baba nisaidie 500!!nimepungukiwa!!

