Kisa 2000 ya marejesho nusu nimchakate asububi hii

Kisa 2000 ya marejesho nusu nimchakate asububi hii

NB
Wakina dada/mama msilazimishe kuingia kwenye mikopo ikiwa hamna vyanzo vya mapato.

Hakika mtagongwa sana.
... mikopo ya akina mama ni chanzo cha uhakika cha VVU! Wanakosa akili kabisa muda wa rejesho ukifika. Yaani wako tayari kwa lolote no matter what and they never think twice! Walio wengi lakini sio wote.
 
Yes real mkuu
 
Ni kama story lakini ukweli ni kwamba nimetoka kuisamehe kuichakata Asubuhi hii hii kisa 2k (elfu mbili ya marejesho).

Ni kwamba kuna mdada mmoja hivi (anaelekea kwenye umama ila mashalah yuko vyedi).

Amenigongea gheto sa hivi anaomba nimuazime elfu mbili aongezee rejesho,

Ana elfu 20 kapungukiwa elfu mbili tu,

Nimemtega kwamba sina kitu nimebaki na hela ya chai tu hiyo hiyo sina nyingine, akaniomba tena kwa kupiga magoti kabisa kwamba anaomba nimpatie atanirejeshea.

Tena kwa msisitizo akaongezea niko tayari kwa lolote pliz nakuomba.

Nikamcheki nikamwambia ingia ndani uje uchukue, hakusita dakika akazama ndani,

Nikamtazama kwa kweli anatia huruma, na mimi nilivyo vyatu nilikuwa tu na boxer wala sikujishughulisha kuvaa pensi,

Nikazama kwa pochi nikatoa elfu mbili kavu nikampatia, akapokea lakini bado akawa amestaki pale nikajua tu anataka kulipa fadhira.

Nilichofanya nikamslap ass tu nikamwambia nenda baadae kumbuka kunirejeshea,

Ndio kutoka na kwenda zake.

Kiukweli Nimemuacha kwa sababu tu nilikuwaga namuheshimu sana alafu pia Age yake na yangu hatuendani kabisa nimechoka kula hivi vijimama.

NB
Wakina dada/mama msilazimishe kuingia kwenye mikopo ikiwa hamna vyanzo vya mapato.

Hakika mtagongwa sana.

Cc Zero IQ
Wewe unaonekana huwa unakaa njiapanda ya kwenye vicoba unawasubiri wahanga wa marejesho aisee!Ila una bahati sana.Si siku mingi utapata zawadi inaitwa "pangusa"!😂
 
Nilishitua kidogo kwa kuslapp ass ila sijagonga mkuu
Hata ku slap ass ni aina fulani ya kugonga, umegonga kwa mkono.

Yani umegonga kwa urefu wa kamba yako umeona aibu kula mazima kwa sababu ulichotoa umeona hakikustahili kula mazima.

Umeona ulichotoa kimestahili ku slap ass tu.
 
Kiukweli kwa ile situation niliona aya, nilimtazama usoni, umri na vile nilivyokuwa namchukulia nikajisemea No,
2k tu isinivunjie heshima ila Ass lazima nislap kumkumbusha kuachana na mikopo isiyo na tija kwake.

Kwa maana ni 2K tu ilishaweka Rehani mbususu yake kwa Zero IQ,
Je kusingekuwa na mkopo ningeona kweli.

Watake care, Leo nimeamka na yesu siku ingine nitaupasua mchoro wake kisawa sawaa.
 
Back
Top Bottom