masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Lalamikeni sana wakati mkiendesha magari yenu katika barabara zilizojengwa kwa msaada toka Japan, mnatibiwa katika hospitali za misaada toka Ulaya, mnasomesha watoto wenu katika shule za misaada toka EU!!Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
.....Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Wewe ni Jenerali Ulimwengu? Nikiri mimi binafsi huwa napata sana shida kuishi na watu ambao wana vipaji vya Lawama.Yaani wao ni KULAUMU TUUUUUU,LAWAMAAAA!KULIALIA WEELeo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Hata kama una fedha kwenye mambo ya Teknolojia ya kijeshi lazima uonane na waliokuzidi hilo ni jambo la kawaida sana...Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Lalamikeni sana wakati mkiendesha magari yenu katika barabara zilizojengwa kwa msaada toka Japan, mnatibiwa katika hospitali za misaada toka Ulaya, mnasomesha watoto wenu katika shule za misaada toka EU!!
Na bado watu wana ruka ruka na kufurahi kama wenda wazimu kwani wameahidiwa shule bure toka chekechea hadi chuo kikuu!
Boda boda na mama ntilie hawatalipa kodi yoyote hadi kufa!
Na watapanga bidhaa zao hadi milango ya Ikulu!
Wafanyakazi hakuna kulipa kodi !
Hii ndo Tanzania yetu ya wananchi wanaopenda vya bure bila kulipa kodi.
Na China ni Nchi inayokopa pesa toka Nchi gani?
mjomba china,saudi,united arab emirate,qatar,kuwait wale wana hela,hawakopagi
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Mkuu chanzo cha hizo pesa zao ni nini?
Au wamezipata pataje mpaka ndio wamekua wakopeshsji wa Dunia?
Baada ya miaka 10 ijayo sehemu kubwa ya Tanzania itakuwa inamilikiwa na wawekezaji wa china. Tutakuwa watumwa kwenye Tanzania yetu wenyewe. Nawasikitikia wanangu na wajukuu zangu wajao....
Haka kanchi tayari kamekuwa mali ya Wachina, They are every where !!:A S 41::A S 41:Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni mia moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
mwaka jana china wameipa venezuela mkopo nafuu wa dola za marekani bilion 50,,,,hata marekani hajawahi toa pesa yote hiyo kwa mkupuo..
wanatoa wapi,ngoja nikwambia,,,kutokana na gharama za kuendesha viwanda kule marekani kuwa juu,,,wenye viwanda walihamishia viwanda china,,inaitwa Outsourseing,,,sasa bidhaa nyingi za china zinauzwa marekani na nchi za ulaya,,,bidhaa hizo mamilioni ya tani ndio source kubwa ya china kuwa na reserve kubwa ya dola za marekani,ambazo zikikakaa bank bila kuzungusha inakua ni hasara,,ndo maana wachina wanafanya project kubwakubwa kwa kuinvest hizo pesa ili zisikae bure....china wanafanya project dunia nzima ikiwemo hata marekani kwenyewe