Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Mimi kwangu kiroja ni wale wanaoshirikishwa na mbowe kwenye kulinda kura. eti makamanda tunaenda kulinda kura mpaka kieleweke.
ila wakati anabadili gia angani hakuwashirikisha. kwenye kutafuta ulemavu wa kushindana navyombo vya dola ana washirikisha tenaa kwa sauti ya kupayuka.
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?

Photoshop hakuna shughuli leoMlizusha ya CDF Sasa mmeumbuka hamtaki watu wahoji hiyo tabia ya kutunga na kusambaza tuhuma ili kujipatia mtaji wa kisiasa ... Aibu zenu..... Njia ya mwongo ni fupi sana ......
Gas ya Mtwara so ipo.
Kama haitatosha tuna uranium Dodoma hakuna shida.
Leo tunatambiana Mkuu wa Majeshi kaonekana Ngerengere, tunapigana vijembe vya udaku wa afya yake na tetesi za yeye "kutoweka".
Hatulizungumzii hata kidogo tukio lenyewe kubwa pale Ngerengere.
Hatujiulizi Tanzania tumekosa fedha za kujenga na kuboresha kikosi chetu cha anga mpaka tuende Uchina kuomba msaada na kufadhiliwa?
Yaani hatuna dola za kimarekani Milioni moja popote? ni heri hata masalia ya Escrow na EPA yangetumika hapo Ngerengere au pale Kigamboni kuliko kuonyesha utegemezi wa hali ya juu kwa China.
Wanatukopesha kujenga Bandari, mitambo ya gesi, reli, barabara, kujenga majengo, matumizi ya serikali, zana za kijeshi na sasa kambi nzima ya jeshi?
Tutalipaje hili deni? Tutalipaje hizi fadhila?
Rev unafahamu wachina ndio waliwafunza wanajeshi wetu wa anga na zile ndege za mwanzo zilitoka kwao, huo ulikuwa ule mlolongo wa mikataba kama vile ya kiwanda cha Urafiki etc. Wao ndio walijenga Ngerengere kama kambi ya anga. sifahamu details za mikataba yao, pia ukumbuke ndio waliweza kutupa uwezo wa kujenga reli ya uhuru. Huyu Jambazi sugu mwenye kuleta mvua kutoka malasyia sijui atafanya nini zaidi ya wizi wa kukata na shoka.We need to manage our resources and make our choices strategically in order to safe guard the inheritance for our children.
Kuhusu tutalipaje huo ni ujinga wa JK et al, yeye ndiye chimbuko la kuendeleza ule mlolongo wa marais wasioweza kuongoza kama vile Mwinyi. I urge Tanzanians who are educated to go back home and claim their right to see Tanzanians are lead to prosperity, not these thieves from Chadema and Ukawa.
So you are in admission kuwa CCM imekuwa dhaifu na kulelea hujuma, utegemezi na umasikini wetu kama Taifa?