Kirefu cha IPTL na PAP

Kirefu cha IPTL na PAP

Yugu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
1,080
Reaction score
329
Habari wanaJF,

Ni mara yangu ya kwanza kupost thread kwenye huu uwanja ila kwa ku comment sijambo japokuwa si mwenyeji humu. Nina maswali na kwa kuwa najua humu mna vichwa ndo mana nikaona bora niulize, nipo kwenye utafiti wa kitaaluma.

1. Nini kirefu cha IPTL na PAP

2. Bunge la Katiba lilianza mwezi na kuisha mwezi gani?

3. Sakata la Escrow liliibuliwa kwenye kikao cha ngapi cha bunge?

Ni hayo tu ndugu, msaada wenu ni muhimu..
 
Ahsante mkubwa @ mr confident
 
Haya mambo ya kupeleka watoto International School ndio hayo.
Watoto wanakuja nyumbani Na Home works zao kukupiga maswali yanayohusu maisha ya kawada,hatimae mzazi unaingia jamii forum kupata majibu.

Na kama unasema upo kwenye utafiti wa kitaaluma basi ndugu badili fani.Maana kama hayo huyajui na ni taaluma yako basi sema upo kwenye utafiti wa kawaida tu.Msiharibu taaluma za watu,alllaaaa
 
Kuna mpangaji wangu mmoja wa kike hakubahatika kwenda shule but mumewe darsa lipo sasa wana kibint chao wamekipeleka english medium sasa kakirudi huko si kizungu hicho bimkubwa wake akaona isiwe tabu akakaambia ukirudi hicho kizungu chako kiishie hapo mlangoni. Nikamwambia shemeji inabidi nawe utafute kukijua japo cha kuombea maji.
 
Nilitoa tahadhari hapo juu
 
Nilitoa tahadhari hapo juu

Haya mambo ya kupeleka watoto International School ndio hayo.
Watoto wanakuja nyumbani Na Home works zao kukupiga maswali yanayohusu maisha ya kawada,hatimae mzazi unaingia jamii forum kupata majibu.

Na kama unasema upo kwenye utafiti wa kitaaluma basi ndugu badili fani.Maana kama hayo huyajui na ni taaluma yako basi sema upo kwenye utafiti wa kawaida tu.Msiharibu taaluma za watu,alllaaaa

I know you are deep in shallow for the remaining questions but the wiser assisted. Ungebaki kimyaaa na wenzio ningewaona wastaarabu kumbe ...... basi tu niwaheshimu kwa leo but next time swear to get ban for u!!!
 
mpeleke mwanao Tuition ili awe anaacha kukusumbua sumbua na tumaswali twake twa kitoto

#zitto
 
I know you are deep in shallow for the remaining questions but the wiser assisted. Ungebaki kimyaaa na wenzio ningewaona wastaarabu kumbe ...... basi tu niwaheshimu kwa leo but next time swear to get ban for u!!!
Nenda huko na kiingereza chako kibovu,na kama ni watafiti kama wewe kwa style hii ya utafiti wa maswali yako ya Nursery basi nchi kweli ikiwa na watafiti kama wewe basi itauzwa.
Sidhani kama ikifika miaka mitano utakuwa na kumbukumbu ya mambo yaliyopita kwa asilimia kubwa.
Pendelea sana kula ugali wa mtama na dagaa,husaidi sana kuweka kumbukumbu ya vitu vya muda mrefu na mfupi kwa kiasi kikubwa.
 
Ni wehu tu unakusumbua wacha nikuuze kwa kukaa kimya mana u kama inzi unarudi tuuu hata ukifukuzwa. Get lost nishapata kwa wazalendo lkn nashukuru kwa kufahamu character yako na hao wenzio na huenda u ar powered so hampo timamu.
 
Back
Top Bottom