Kipofu alifkishwa mahakamani kisa kaua mtu.Alipohojiwa na JAJI yeye akajitetea akasema hivi :Ndugu JAJI kwakweli mimi na marehemu tuligombana nilipotaka kumpiga akasema NIUE UONE na mimi kwakuwa nilikuwa ninahamu sana ya KUONA basi NIKAMUUA.Je nani mwenye kosa hapo?