Sidhaniso image haoni..?
Watu hawaoti kwa kutumia Macho, bali fikra.habari zenu wana jf..?
swali langu ni je mtu aliyezaliwa kipofu anaweza kuota ndoto..?
i mean toka amezaliwa mpaka amekuwa hajawahi kuona(kipofu).
karibuni...
kwa nini asiote??ndoto huoti sababu ya unavyoviona bali mara nyingi mtu huota sababu ya vitu vinavyotawala sana mawazo yako,na bila shaka nao huwaza hupenda huchukia nk hayo mambo yainaweza kuwapelekea kuotahabari zenu wana jf..?
swali langu ni je mtu aliyezaliwa kipofu anaweza kuota ndoto..?
i mean toka amezaliwa mpaka amekuwa hajawahi kuona(kipofu).
karibuni...
Image ipo,so image haoni..?
Kwani kwa mtazamo wako ndoto ni nini?
ataijengaje image kati hajawahi kuona..?Image ipo,
Sasa ni image ya nini itategemea yeye mwenyewe hua anajenga image gani kwenye fikra zake.
Ila kuhusu kuota hua ANAOTA
Pengine hujafikiria maana ya unachoongea. Hivi mtu akikuhadithia Movie au story ya watu ambao huwajui huwezi kujenga image kichwani kua HUENDA hao watu wanafanana vipi??ataijengaje image kati hajawahi kuona..?
kwa nnavyojua ubongo hujenga picha toka kwenye mazingira ambazo tayari imeshagaziona.
W
Watu hawaoti kwa kutumia Macho, bali fikra.
Sasa kama hajawahi kuona taswira ya mtu basi ina maana yeye akisikia mtu anatajwa atakua anajenga fikra zake mwenyewe juu ya mtu anavyofanana. Kama hua anajengaga taswira kua mtu anafanana na Farasi basi akiota juu ya mtu ataota kiumbe kama farasi
Ubongo hata bila kuona wenyewe hujenga picha ya kitu kwa mujibu wa maelezo. Kina watu hutunga hadithi za kufikirika tu lakini watu hujenga picha halisi na matukio jinsi yanavyotokea kwenye ile hadithi.Kwa mtazamo wangu ndoto ni hali/kitendo cha mtu kuona matendo wakati akiwa amelala au ni kitendo cha ubongo kufikiri na kuona kifikra matendo fulani hali hii hutokea mtu ambapo huwa amelala.
nimehoji ilo swali coz ubongo ktk kuota hutengeneza picha ambayo tayari mtu anakuwa tyr ameshaiona ktk mazingira halisi mf;mtu akisema jiwe ubongo ktk fkra huleta picha ya jiwe ambayo tayari kwa mtu ambaye alshagawahi kuliona jiwe.
sa kwa mtu ambaye hajawahi kuona anaweza kuota na kuona kitu anachokiota..?
Anaota kwakuwa ndoto si kuona tu bali ni pamoja na mawazo na maongezihabari zenu wana jf..?
swali langu ni je mtu aliyezaliwa kipofu anaweza kuota ndoto..?
i mean toka amezaliwa mpaka amekuwa hajawahi kuona(kipofu).
karibuni...