mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Mbali na Speed kali ya Serikali ya Awamu tano Katika Utekeleza wa ilani yake , sioni kama ni hilo tu linakufanya usilale Usiku na Mchana Kuzunguka kila Kona ya Jimbo hilo.
Pia sitaki kuamini unafanya yote haya ili Kujijengea Reputation Kwa Mkuu wako wa kazi, nnacho amini kuna Kitu unajiandalia, kuna mazingira unayaweka Sawa,na kipo kitu unakiwinda.
Sasa Basu ,Bora kutuambia tu Ili na sisi tukuambie Mapema Kama kitu hiko utakipata Ama Lah...