Kipindupindu charudi Dar

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
740
485
Waziri wa Afya Mh Ummy Mwalimu ameripoti kwa vyombo vya habari leo kuwa Dar ina wagonjwa 6 wa kipindupindu hadi sasa. Jamani usafi umeenda wapi tena? Wakuu wa manispaa na mkuu wa mkoa vipi??
 
Duuuhh tujitahidi kuzingatia usafi tatizo moro bado kipo na tanga kipo,,dar inaingia watu wengi kila siku kwa iyo ni rahisi watu kutoka sehemu nyingine kuja na maradhi haya..!!
 
Pamoja na kufanya usafi wa mazingira kama ilivyofanyika na kusisitizwa na serikali, hatua za uhakika na za kisayansi zinahitajika ili kupambana na kipindupindu.
Mipango miji, makazi bora, maji safi na salama ni vitu vya msingi katika kuondoa kipindupindu badala ya kufagia halafu tunajidanganya tumemaliza tatizo!
 
Back
Top Bottom