Kipindi: Malumbano ya hoja (ITV); kitadumu

Kipindi: Malumbano ya hoja (ITV); kitadumu

malumbano ya hoja au malumbano ya haja?
 
Bado ninaushauri uongozi wa Itv wakiboreshe kipindi hiki kiwe kama kile cha tbc cha mchakato majimboni wakati wa uchaguzi! Hii itatusaidia kuyaibua matatizo ya wananchi from the grass root. Kuna matatizo makubwa huko majimboni na hayapati nafasi ya kusikika. Binafsi nimepoteza imani na wakazi wa dar! Licha ya kuwa wengi ni wasomi na mabigwa wa kulalamika kwenye media, uchaguzi ukifika utadhani wamelogwa! Wanasahau kila kitu na kuichagua ccm! Huu ni unafiki mkubwa. Na kujidhalillisha wenyewe. Ni aibu upinzani kupata ushindi mkubwa shy, kigoma, kilimanjaro na kwingineko kuliko dar!
 
umemshtukia eeeh! Anadai umaskini umepungua! dah!

Jamani WANGWE ni profesa wa mavi. Hana data, naomba nimpe. Mwaka 2005, fukara walikuwa 11 milioni, mwaka huu wa 2015, tupo 12.7 milioni(data za repoa), profesa uchwara hasomi repoti.
 
If we believe poverty is unacceptable to us, and in a civilized society, we would have created apropriate insititutions and policy, to create poverty free country.

But, is there any political committments in poverty eradication?

Is there any leader feels shame from being in a country named poor?

In a well governed country, poverty is something to be ashamed of.

Grayson, 2011.

I bet this was not posted by Grayson Nyakarungu!
 
nilikipenda sana kile kipindi........naomba kiendelee.......big up itv
 
Bado ninaushauri uongozi wa Itv wakiboreshe kipindi hiki kiwe kama kile cha tbc cha mchakato majimboni wakati wa uchaguzi! Hii itatusaidia kuyaibua matatizo ya wananchi from the grass root. Kuna matatizo makubwa huko majimboni na hayapati nafasi ya kusikika. Binafsi nimepoteza imani na wakazi wa dar! Licha ya kuwa wengi ni wasomi na mabigwa wa kulalamika kwenye media, uchaguzi ukifika utadhani wamelogwa! Wanasahau kila kitu na kuichagua ccm! Huu ni unafiki mkubwa. Na kujidhalillisha wenyewe. Ni aibu upinzani kupata ushindi mkubwa shy, kigoma, kilimanjaro na kwingineko kuliko dar!

Haki ya mungu we una akili sana! Vipindi hivi hebu viandaliwe kushirikisha maskini wenyewe kule Kwetu Kishumundu, Mpitimbi, Kanyigo,Nyamongo etc. Na tuwaulize kwa nini pamoja na hali zao wanachagua bado serikali yenye mfumo ule ule? Kwa nini vijana wao wanawakimbia nakutua mijini n never come back. Kwa nini wana rasilimali lakini bado hawasogei. Wakishirikishwa hivyo na kuchangiwa na wasomi wetu watapata hatua ya kuanzia. Kuwachukua wala chipsi kuku kama mimi waliopo mijini tu tutabaki tunajadiliana tu na kusifia mijadala. Tuwafanye wenye nchi wanaoipa CCM kura bila kutaka wala kujiuliza wajiunge kwenye mbio za ukombozi.
 
asante mkuu kwa kunielewa. Hicho ndio ninachomaanisha. Naamini hata watazamaji tutavutiwa sana na kipindi siku tutasikia kinarushwa live kutoka mlali, kiteto, kibakwe, bumbuli, rungwd, meatu au vunjo na ikiwezekana mbunge wao au madiwani wanakuwepo. Hapo tutajua matatizo na mahitaji ya watz kwa mapana kuliko kila siku kusikiliza unafiki wa wakazi wa dar na kero zilezile kila siku huku hawataki mabadiliko.
 
Jana tumetazama kurudi kwa kipindi cha malumbano ya hoja ITV,Je yatadumu nilikuwa nikifatilia kwa umakini hajo za washiriki,dah watanzania hawana imani na watamala tena,Je MAGAMBA wakiachie kipindi kiendelee?
 
Hapa tusahau kipindi kudumu lazima chama cha magamba(ccm)waingize mizengwe kibao kupitia wawakilishi wao Serikalini.Wananchi walio wengi wamekosa imani na ccm kabisa na uamuzi huu unaendana sawa sawa na mambo mabaya yanayofanywa na ccm kupitia viongozi wake Serikalini.Ila penye ukweli uongo hujitenga.
 
sauti ya watu ni sauti ya umma.ungetupa walau hint kodogo walichosema wadau manake wengine tupo madogongo kuinana ITV tunapata recorded news kupitia kennedy blog Tanzania.tunasubiri huruma yake kama ataweka clip nasi tuone.
 
kuna mdau alitoa data za takukuru,kati ya kesi 40,000 na ushe wameshitaki kesi 6,000 ,400 zimesikilizwa wameshinda 44,mada ilikuwa umaskini tanzania ni Laana?
 
Ndiyo, ni kweli kilikuwa kizuri lakini kuna mbinu moja kwenye marketing inaitwa 'entry strategy'! Kumbuka hao waliokerwa jana wataanza vitisho na ITV wataogopa kama kawaida. Nimeguswa sana na mchango wa Dr. Lwaitama karibia na mwisho wa kipindi na nadhani hakuna mtawala (sio kiongozi) wala fisadi atakuwa amevutiwa na kile kipindi. Ngoja tusubiri tuone!
kituo cha Television cha ITV kimerudisha kipindi maalum cha "malumbano ya hoja" kipindi naweza kusema kipya tofauti na kile cha zamani 1990s, kuna tofauti kubwa . anyway.... Hoja ya leo ni kuwa UMASIKINI TANZANIA NI LAANA?
nimefurahia kipindi hiki , mosi kuwa LIVE pia wachangiaji.

my take: wana JF tutumia pia hilo " Jukwaa" la malumbano ya hoja on ITV kama mtu anapata Time better to be there ...... Aluta cont`
 
WanaJF! Mbona kuna thread nimeweka hp jana night ila majira hy haisomeki? Ama kuna namna baadhi ya wanaJF wanafutaga thread ya wa2? Kwa anayejua zaidi anihabarishe wajamen. Thankx!!
 
hii thread iliwekwa na pikadili kulikoni! uchakachuaji huo!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Jamani WANGWE ni profesa wa mavi. Hana data, naomba nimpe. Mwaka 2005, fukara walikuwa 11 milioni, mwaka huu wa 2015, tupo 12.7 milioni(data za repoa), profesa uchwara hasomi repoti.

Humjui Prof Wangwe, ana mchango mkubwa sana katika kupigania maendeleo ya Tanzania. Kumtukana huyu ni laana. Jana alikuwa ana act kama moderator, Wangwe sio hard liner. Nimesikitika sana na matusi yako.😛hone:
 
Huyo Prof. Samwel Wangwe hawezi kuwa mtu huru ktk kuchangia mawazo, maana kula yake inategemea sana 'consultation fees' na 'contracts' toka serikalini Tanzania kuannzia alipokuwa ESRF (www.esrftz.org) mpaka alipo sasa REPOA (www.repoa.or.tz) na kazi zao REPOA za kusema uchumi umekua (economic growth), walakini Rais Miterrand wa Ufaransa alisema sera za wajamaa/soshalisti kama CCM 'Economic growth does not end with (economic growth)indicators but how you share the cake'.

Swali kuu kama kuna dhahabu kibao, almasi, samaki n.k kwa nini wananchi wa kawaida hatufaidi huo 'uchumi uliokua' kama wanavyotoa data hao REPOA, BOT, CCM?
 
yeah niliangalia nilivutiwa na michango mbalimbali lakini nadhani tuna tatizo kubwa zaidi katika fikra za taifa letu.

Aggh kwani marekani ITV inashika?? Kwahiyo watu wa taifa letu wengi kifikra ni mgando??...lol
 
...opportunities zipi? za wizi wa mali ya umma?

Ni Kweli kwa kiwango cha kutosha fursa zipo. Na lakini pia kuna mapunguzu ya kisera na ki-miundombinu. Hivyo kwangu Viongozi hawawezi kukwepa lawama na Vijana pia kwa hakika tunapaswa kueleke kwenye kutenda na kupunguza malalamiko. Shime, natujaribu kuwaendea hao tunaowalalamikia kila mara. Hata kama hawataki kwa moyo, ila kulingana na kelele za kutosha tulizopaza, WAMEBADILIKA na wengine bado wanaendelea kubadilika kuikalibia jamii
 
Back
Top Bottom