kila mtanzania ajiwezeshe kwanza badala ya kukaa na kulalamika bila kutumia opporunities zilizopo.
Hakika kipindi ni chenyewe na ina wapiganaji wenye uchu. Lakini kuna yule Profesa Wangwe kwa mtazamo wangu wa haraka mi naona ndiyo wale wale Mapapa ila anajaribu kuficha makucha. Wadau nimetoa hoja tu.
vijana watafanya nini wakati serikali awna police nzuri za kuwawezesha?wengi wa watanzania ni maskini,elimu ni duni,ajira hakuna,umeme ndo huo mgao,miundo mbinu ni mibovu kiasi ambacho mtu akilima,mazao yanaozea mashambani,inflation ni kubwa. wanasema kilimo kwanza wakati viongozi wanakula fedha za pembejeo za wakulima na kibaya zaidi wanaiba pesa na kuzificha kwenye mabenki ya nje.
Nimekikosa!...ila nadhani sio laana,hamna kitu kama hicho,tujiulize kwa mfano watanzania wangapi wanafanya kazi kwa masaa 16 kwa siku?
nimekirekodi kwa kiasi kikubwa; hope nitafanikiwa kupandisha yote kwenye youtube..