Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.
Tangu amechaguliwa:
1. Hapendi kuitisha mikutano ili kupata mawazo ya wananchi
2. Wananchi wa Madale waliopatwa na mashambulizi ya polisi wamekosa pole na msaada wake
3. Wakazi wa Majipwande wanamlilia kwa kutopata msaada wa mali na faraja toka kwake
4. Mfuko wa Jimbo haujatolewa maelelezo kwa wananchi
5. Kushindwa kutekeleza ahadi zake za kuinua kiuchumi vikundi vya vijana na wanawake
6. Kushindwa kutatua matatizo wanayoyapata vijana wa bodaboda na bajaji
Hizo ni kero chache ambazo zilitakiwa zifanyiwe kazi na mbunge wetu.
Kwa kweli wakazi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi tete tunamkumbuka RITA Mlaki ambaye alikuwa karibu na wapiga kura.

Gombea basi wewe tukupe. We unataka mbunge ashugulikie kila kitu? hao wabunge wengine wamefanya nini? Magamba mna shida sana,, hizo pesa za jimbo waulize magamba wenzio maana wao ndo wanajua ziko wapi,,, wala usimlaumu Mdee. Na aliyekutuma mwambie huku JF tuko vizuri magorofani hatujadili hoja zisizo na mshiko. Huwezi anza kumlaumu mbunge wakati bado ana miaka miwili na ushee. Haya zile ahada 77 za mheshimiwa sana mbona huuliziii? kuna meli ngapi zimeshatengenezwa? Je kigoma imekuwa kama Dubai? Reli je? Nakushauri ukiwa bored badala ya kupost vitu kama hivi ingia hapa www.theudaku.blogspot.com:A S-coffee:
Hivi kukutana na wanachi na kuwajulia shida zao nalo linahitaji jitihada za serikali ya ccm? mbona katika muda mfupi wa uchaguzi aliweza kuzungukia kata,kaya,mitaa yote ya jimbo lake na kutoa ahadi lukuki zenye matumaini.Any way tutakachokifanya hatoamini majicho yake atabakia kulalamika kuibiwa kula baada ya wananchi kughairi 2015.hoja zinahitaji utekelezaji lakini sio kumlaumu maana aliyeshika kila kitu ni ccm sasa utakapo lalamika hatutakuwa tunamtendea haki yeye anapiga kelele ccm ndio wanafanya ingekuwa serikali iko chini ya chama chake hapo kila lawama zilitakiwa kuelekezwa kwake
hapana mkuu ni bora ange kuwa anafanya hata mikutano ya hadhara jimboni mwake kama wenzake wanapotoka bungeni tu inasaidia sana kuepusha maneno kama hayahoja zinahitaji utekelezaji lakini sio kumlaumu maana aliyeshika kila kitu ni ccm sasa utakapo lalamika hatutakuwa tunamtendea haki yeye anapiga kelele ccm ndio wanafanya ingekuwa serikali iko chini ya chama chake hapo kila lawama zilitakiwa kuelekezwa kwake
hoja zinahitaji utekelezaji lakini sio kumlaumu maana aliyeshika kila kitu ni ccm sasa utakapo lalamika hatutakuwa tunamtendea haki yeye anapiga kelele ccm ndio wanafanya ingekuwa serikali iko chini ya chama chake hapo kila lawama zilitakiwa kuelekezwa kwake
Mkuu wa Wilaya amefanya nini?Wananchi wa jimbo la Kawe tupo katika kipindi kigumu cha kukosa mwakilishi aliye makini bungeni katika kipndi cha mwaka 2010 kuelekea 2015. Mbunge aliyeingia kwa mbwembwe nyingi Halima Mdee amekuwa ni zigo lisilosaidia wapiga kura badala yake anajisaidia mwenyewe.