Kipindi cha mpito hupita na mengi

Kipindi cha mpito hupita na mengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,882
Reaction score
828,458
Wenye hekima hutafutwa.. Hukutana.. Hukutanishwa

Wenye ugomvi na walioumizwa huombwa radhi

Tafakuri hufanyika wapi palipokosewa ... wapi palipoharibiwa.. Wali palipofubazwa...
Safu hupangwa upya
Wakuonywa huonywa
Wakukemewa hukemewa
Wakutemwa hutemwa
Wa kuwekwa ghalani hutupwa huko
Vya kuhamishwa huhamishwa
Vya kuhuishwa huhuishwa...
Vya kubadilishwa hubadilishwa

Vitengo huwa active 24/7
Uaminifu huchujwa tena na tena
Malumbano na majadiliano huwa makali
Walioshika mpini huchekelea.. Walioshika makali hugumia

Oneni hivihivi kuna ukimya.. Huko ndani hakuna utulivu na yanayoendelea si haba
 
1744457325635.jpg
 
Back
Top Bottom