vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Nafuatilia kipindi cha mada moto channel 10 kuna mtoa mada mmoja ameamua kutetea serikali ameulizwa swali kuhusu vijana wanaotumiwa Kuunda baraza la vijana kuwa wengi ni ccm lkn wanajifanya kuna uwakilishi wa makundi yote