Facilitator
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,280
- 1,763
Naona jamaa wameamua kutukata tusiweze kuisikia moja kwa moja kupitia Mtandao.
Ok web yao ni
RADIO IMAAN FM on USTREAM: RADIO IMAAN FM is Islamic Radio under The Islamic Foundation Tanzania Broadcasting live from MOROGORO Town Tanzania. Which is br...
hivi watu kama hawa kwanini hawaitwi kwenye vyombo vya habari vya kawaida kuelezea upuuzi bali wanaongelea kwenye radio yao? Natamani masako wa itv awaite halafu tuwahoji
Mkuu WildCard, huyu mzee ni muovu wakutupwa, anayoyasema anafahamu tosha madhara yake! lakini umri wake na akili yake ndio tatizo. Anajua fika watanzania watakapoanza kuchinjana yeye atakuwa Oman kwa mabwana zake akiangalia matukio kupitia Aljzaara.Mwambie akimaliza huko aingie humu JF kuna maswali aliacha kuyajibu makusudi. Sijui kama Mzee Mohamed anaelewa "sumu" hii anayoimwaga kwa Waislaam ambao sote tunawafahamu walivyo anaelewa madhara yake.
Pia wanasema shule za wakristo mfano Itaga seminary, Marian girls huwa zinapendelewa na NECTA.
Jamni ni chuki over chuki.
Serkali mko wapi kuwachia waganga njaa kama hawa.
dawa yao unawapelekea nguruwe hapo redioni
Pia wanasema shule za wakristo mfano Itaga seminary, Marian girls huwa zinapendelewa na NECTA.
Jamni ni chuki over chuki.
Serkali mko wapi kuwachia waganga njaa kama hawa.
hata hapo radio imaan kwenyewe , ukipiga simu wakikugundua unapiga simu naww sio wa mlengo wao wanakukatia simu
Unajua kitu kimoja cha ajabu ni hiki, ni kwanini wanazingatia vitu vidogo (kosa dogo) kama hili la mwalimu kutaka kuwaaminisha watanzania kuwa nyerere alikuwa na hila?? kwanini????? Mbona wasielezee mema yote aliyowafanyia?? Kwanini huyu mzee mohamed said ameshikilia kosa dogo la mwalimu kumuonyesha kama si lolote???