Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,874
Enyi wapinzani wa kudumu ni nani aliye waroga? Na kuwadanganya kuwa mtakuwa watoto wadogo siku zote?
Mmeshakuwa watu wazima sasa. Na mpo na sharubu kama baba yenu. Mda wa kulialia na kubembelezwa kwenda kunywa juice na chai ikulu hakipo tena.
Mda wa kulia lia bungeni na kuomba mpewe nyonyo kama watoto wachanga hakipo tena.
Ni wakati wa kusimama kwa miguu yenu na lazima mfuate taratibu zote. Hakuna kunyonyeshwa tena.
Jisimamieni wenyewe sasa. Na muelewe mpo na miaka zaidi ya 20. Mlikuwa mnakula na kunywa kwa baba yenu. Sasa hivi msitegemee juice tena.
Kama taratibu lazima mzifate. Kama hamtaki kufuata kwa hiari mtalazimishwa.