autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Wengine tv ni kituo cha polisi, kielezee kidogo
Ni kipindi kilichoandaliwa vizuri kwa vijana.
Wanajadili masuala mbalimbali ya maisha.
Kifuatilie kila alhamis saa mbili usiku.
TV1 inakuja kwa kasi
Nimependa kipindi chao kipya cha BOYS BOYS kinachoendeshwa na Mwisho Mwampamba.
Mpangilio wa studio, mada zao, host yuko charming , fun & on topic.
Wana min bar na vinywaji vya kweli sio mapambo kama vile vya FNL.
Idea ni nzuri.
Tv1 ni inatangaza toka wapi? Inapatikana wapi? Ndio naskia leo
Hiyo TV1 inaonekana kupitia king'amuzi gani?
Tv1 ni inatangaza toka wapi? Inapatikana wapi? Ndio naskia leo
Hawaweki vipindi vyao youtube? Nahitaji ila siwezi kuona kwasasa
Hv hii TV1 na Viasalat ya Ghana kna mwingilio gan? Coz vpnd vyake vnafanana kasoro hosts n tofaut coz hata Boys boys ipo kwny Viasalat pia
Ni sehemu ya mtandao wa mkubwa wa TV uitwao Viasat, inamilikiwa na Wanorway. Kwa hapa Tanzania hio TV1 inamilikiwa na wao. Ipo ktk visimbuzi vya Azam na Startimes kwa sasa.Tv1 ni inatangaza toka wapi? Inapatikana wapi? Ndio naskia leo
Sawa wasalipa sana! Jina lako linahusiana na kile kijiji cha idimi kule Mbeya?Ni sehemu ya mtandao wa mkubwa wa TV uitwao Viasat, inamilikiwa na Wanorway. Kwa hapa Tanzania hio TV1 inamilikiwa na wao. Ipo ktk visimbuzi vya Azam na Startimes kwa sasa.
Hapana, naona ni mwingiliano tu. Pamoja sanaSawa wasalipa sana! Jina lako linahusiana na kile kijiji cha idimi kule Mbeya?
Sawa bana, (wasalipa = thanks), nikajua wewe ni MSAFWAAAHapana, naona ni mwingiliano tu. Pamoja sana
Asante Msigwa, kwa Kisafwa wanasema INDAGA, sio?Sawa bana, (wasalipa = thanks), nikajua wewe ni MSAFWAAA
GBU siku njema