Alooo natamani nikutandike rungu moja tuu la kichwa adi ufe! Alafu hiyo ndiyo iwe picha ya kwanza kuonyeshwa live tbc....
Tunapoona picha za chereko tunaona matukio ya karibuni ya wahusika, bila shaka hii inajenga taswira ya tukio hususa.
Ninaona tatizo pale wale waliokufa picha zao zinazotumika ni zile zinazoonyesha mazingira ya kazi au elimu.
Ili kuweka uzito kwenye tukio la kifo, natamani picha zinazotumika zingekuwa ni zile zinazoonyesha matukio yaliyopelekea msiba, au picha zao za siku za mwisho.
Nasimama kukosolewa.
kwanza mimi sioni sababu ya kubandika picha za walinkufa kwenye tv. Ni utamaduni wa ajabu sana.

Ki biblia ni dhambi kama zingine zote..tena inaleta laana! if we will start this topic ignorant people may come out ignorantly to defend..while they are christian
It is boring..ikifika muda huo ninabadili channel..
alooo natamani nikutandike rungu moja tuu la kichwa adi ufe! Alafu hiyo ndiyo iwe picha ya kwanza kuonyeshwa live tbc....
wa ajabu wakati siku hizi watu kwenye mazishi wanapiga matarumbeta
Hongera! Vipi umeshamtafutia jina? Usiache kumwekea zile nyimbo nzurinzuri na kumsomea vifungu vya biblia.walahi umenichekesha mpaka mtoto alieko tumboni karuka lol,asa umtandikie nini!?